Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Umeona Sasa usivyo na akili.
Umeanza kuleta mada ya bank ndani ya mada nyingine.
Na hii yote ni kujaza tu Uzi wako
kijana tafuta hela
You look desperate my sister
This plaform is here to exchange ideas. No wonder unakuja na mitusi mara huja soma mara nitafute hela. Ofcourse natafuta sisha choka na kuajiriwa.
Wacha nitafute hela we tafuta umri wako
 
Nime washangaa kwa lipi
Lets stick to the point.
Dating women age 27+ ndo mada yetu
Mwenyewe ukasema tustick kwenye point na wakati ulianzisha mwenyewe mada ya ubank teller
Nimezungumzia kuhusu wadada wanaofanya kazi bank. Bank zipo vitengo vingi kuna customer service office, kuna hao matter, loan officer, bank office mannager, operation manager na bank manager. Daby alizungumzia kuhusu hao ma teller 3 nilio waona lakini me sioni kama matter ndo wemye mishahara midogo. Hata customer service officer wana misharaha midogo.

Hivi huja wahi kutana na watoto wa kishua wale ambao wapo kule kitengo cha treasure. Mishahara yao ni minono alafu wengi wapo HQ. Wengi wao ni watoto wa kishua wazazi wao wapo huko juu kwenye madirectors.
Ukaja tena kuchambua vyeo vya wafanyakazi wa bank na huku pale juu umesema tustick kwenye point
You look desperate my sister
This plaform is here to exchange ideas. No wonder unakuja na mitusi mara huja soma mara nitafute hela. Ofcourse natafuta sisha choka na kuajiriwa.
Wacha nitafute hela we tafuta umri wako
Nimekujibu lakini bado umekuja na ramli zako chonganishi.
Inaonyesha huelewi hata unachokijadili.

Bora umekubali kwamba unaenda kutafuta hela,
Sijasema hujasoma nimesema inaonyesha bado hujajua kusoma vizuri
Uwe unasoma vizuri kabla hujadandia kunijibu .

Mimi sipambani na umri wangu pole sana[emoji1787]
Uliye na stress ni wewe unayekuja kujadili watu.
 
Nitaachaje wakati ndionraha ya dunia jamani
Sawa
Endelea na ongeza bidiii
Mwana wa Adamu yu karibu,Anasema aja upesi kumlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.

Kabla hajaja ngoja kwanza dunia itakulipa
 
Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
Ha ha ha ha ha ha ha ha kashafika.....
 
Sawa
Endelea na ongeza bidiii
Mwana wa Adamu yu karibu,Anasema aja upesi kumlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.

Kabla hajaja ngoja kwanza dunia itakulipa

Ok...basi ngoja nizidishe bidii ya kugegeda ili nife kabla huyo mwana wa adamu hajaja niwe nilishatulia zangu six feet under
 
download.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom