Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tatizo ni ujinga wakoSasa naona una confirm yale niliyosema...tatizo ni wazazi na sio wagegedaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni ujinga wakoSasa naona una confirm yale niliyosema...tatizo ni wazazi na sio wagegedaji
Very trueHeshima ya ndoa ni huku kwetu kwa wapare, wachaga, wasukuma n.k utapata usumbufu kutoka kwa bibi uchagani, au babu usukumani kuwa unaolewa lini.... Kama huna hao watu huwezi pata usumbufu unless una marafiki wa aina ya babu, bibi na shangazi zako.
Tatizo ni ujinga wako
Wewe alikuandikia?Kwani alikuandikia BARUA uje kuchangia Uzi wake !? Haha
Ndiyo na uache maana usipoacha utapata adhabu hapa duniani na usipotubu utaenda pia kupambana hukumuniAya bana ujinga wangu ni kugegeda
You look desperate my sisterUmeona Sasa usivyo na akili.
Umeanza kuleta mada ya bank ndani ya mada nyingine.
Na hii yote ni kujaza tu Uzi wako
kijana tafuta hela
Wa 27 wala hawana mambo mengi ila sharti uwe na muonekana. Wao wanajua kupick na una suit kuwa nao, they will come for youMi mbona siwapat hao...27+ mpaka 35+ napata vya uku chini yangu 25's vinazingua tuu
I dont caremtoa mada umechokoza nyuki, wacha 'walengwa' wakuchangie
Mwenyewe ukasema tustick kwenye point na wakati ulianzisha mwenyewe mada ya ubank tellerNime washangaa kwa lipi
Lets stick to the point.
Dating women age 27+ ndo mada yetu
Ukaja tena kuchambua vyeo vya wafanyakazi wa bank na huku pale juu umesema tustick kwenye pointNimezungumzia kuhusu wadada wanaofanya kazi bank. Bank zipo vitengo vingi kuna customer service office, kuna hao matter, loan officer, bank office mannager, operation manager na bank manager. Daby alizungumzia kuhusu hao ma teller 3 nilio waona lakini me sioni kama matter ndo wemye mishahara midogo. Hata customer service officer wana misharaha midogo.
Hivi huja wahi kutana na watoto wa kishua wale ambao wapo kule kitengo cha treasure. Mishahara yao ni minono alafu wengi wapo HQ. Wengi wao ni watoto wa kishua wazazi wao wapo huko juu kwenye madirectors.
Nimekujibu lakini bado umekuja na ramli zako chonganishi.You look desperate my sister
This plaform is here to exchange ideas. No wonder unakuja na mitusi mara huja soma mara nitafute hela. Ofcourse natafuta sisha choka na kuajiriwa.
Wacha nitafute hela we tafuta umri wako
Ndiyo na uache maana usipoacha utapata adhabu hapa duniani na usipotubu utaenda pia kupambana hukumuni
SawaNitaachaje wakati ndionraha ya dunia jamani
Tatizo ni ujinga wako
Ha ha ha ha ha ha ha ha kashafika.....Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
Sawa
Endelea na ongeza bidiii
Mwana wa Adamu yu karibu,Anasema aja upesi kumlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.
Kabla hajaja ngoja kwanza dunia itakulipa
Kinywaji toka kwa Last Born?! Hapana aisee manake isije hapo baadae kitu kidogo tu "we si nilikupa soda yangu wewe!" Aaaaargh!
Nina ndoa tayari