Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Kwa hii mentality labda ukaoe wewe tena marioo, shilole yule pale anagawa kama biscuit.

Nani kakwambia sisi wanaume tunashida na mwanamke mwenye elimu inayompa ujuaji badala ya kumpanua fikra na kuijua nafasi yake zaidi?!

Statistics don't lie, tazama uhalisia now days wanawake wanaokwenda shule wengi wao wanafeli kutambua roles zao, si katika malezi ya watoto, si katika majukumu ya nyumba na pia muhimu zaidi nafasi zao katika maisha ya ndoa na kwa mwanaume. Ndio maana wanaishiwa kupigwa pumbu na wanaume za watu, kuzalishwa na kuongeza idadi ya single mothers mtaani.

Wewe bishana na uhalisia kujifurahisha ila the day ukweli utakapokamilika katika macho yako hatutakuwa hapa kufanya tena discussion. Mimi nitakuwa na familia yangu wewe utaendelea na maisha umechagua.....
 
Hahaaa una matatizo wewe Yani umri wa wanawake ukuumize ili iweje maisha ni zaidi ya ngono, na jifunze ku mind bussiness yako mwisho utakuwa mchawi sasa, maisha na umri wa watu ambao ni Jambo la kawaida vikuumize jichunguze wewe
Wewe umejuaje kuwa anafuatailia maisha ya watu?! What of its his business kufuatilia maisha ya watu?!

Mbona wewe umefanya hii topic your personal business?!
 
Utopolo mtupu
Pambana na hali yako
 
Achana nae huyu, daily yeye nikuja na defense mechanism na hajielewa, one day atakalishwa maana hapo alipo tayari kuna kabwana mdogo au njemba inampumulia begani na huwa analainika sasa sisi anatuletea ugumu gani na mtu akikunjwa huwa analegea wakati mtu anamkaza......

Huwa najutia sana kubishana na watoto wa kike sometimes. Vijitu vinaishi kwa sapoti ya wanaume halafu tena vitupandishie kibesi..... Chapa makofi kabisa takataka hawa...
 
Nyie wachagueni weeee umri sura, shape kila kitu mutakao waacha niachieni mm plz..... [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] sina makuu kbsa! Chagueni weeeee the rest niachieni niwatunze watunzike ss wote binadamu kutengana ya nn?? Naifuata sheria below 18 pambania mechi zako za masomo ila wengine woote krbuni [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]#MbinguniDirect #SinyanyasiMtu
 
Bivie ungejaribu kujibu hoja kidogo ingekuwa jambo la busara sana.

Nakukumbusha hakuna kazi ngumu kama kuukataa ukweli, maana ni kazi bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…