Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Stress sio poa, kama huyo Cariha nina uhakika umri umeendaaa sana halafu namba hazisomi
Bado ni katoto. Wakifika ule umri huwa tunazungumza nao lugha moja ya kiume. Wanakuwa wapole, waelewa na wamapokea hata mwanaume mbeba viroba ujuaji wote unakuwa mfukoni.

Huyu bado hajafika walipo dada zake maana hawa wao walikuwa kama yeye kipindi hicho. Kwa bahati mbaya hizi social media hazikuwapo ila tungemuwekea hapa ushahidi aone yeye si wa kwanza kubisha.
 
nadhani mtoa mada ka alipaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Hawa ndiyo wanaofanya wanawake waanze kujiona hawafai
Na wanataka kuja kuaminisha watu huku kuwa hao watu hawafai.
Lazima tuwanyooshe
Sijaona kama hiyo ndiyo intension ya mleta mada. Ukisoma kwa makini kiasi flani ameongea ukweli, swala la final commitment kwa wanawake liko limited with age. Kufocus kwenye ajira, kipato, elimu ni swala jema kabla ya wedding rock na wanaume wanaojielewa na wanaotaka kusettle, wenye njaa ya maendeleo kifamilia tuko tayari kuingia katika mahusiano na wanawake wa aina hiyo.
 
Kunguza hasira, kumbuka huo ni mtazamo wake, hata nyinyi wanawake mnamitazamo yenu na preferences zenu. Muhimu nilichokiona ni kutuasa wanaume kuwa IF WE ARE DATING SUCH AGED WOMEN, LET US NOT PLAY WITH THEIR FEELINGS.

Exactly Mkuu

Swala lilikua ni uelewa tuu
Jamaa kaongea kitu helpful Sana

Mimi Leo/kesho nikipata Mdada wa Namna hiyo nitachukulia maanani Sana Swala la feeling zake kwangu
I wonts mess with her feelings kabisa
 
Acha kuwatia ujinga watoto wa watu..... Ndoto gani hizo.... Mtu anatombwa na wanaume tofauti is that part of ndoto?!
Wewe ndiyo umesema kutombwa na wanaume tofauti tofauti.

Me nimesema wanawake watimize ndoto zao. Hao unaowaona wanatombwa na wanaume tofauti wafuate uwashauri kama unaona wanatumia vibaya viungo vyao uwafundishe namna ya kuvitumia mkuu.
 
Huu uzi wa moto huu.... 🤣🤣🤣 ngoja niendelee kujifunza....[emoji481][emoji120]
 
Kila mwanamke ana kipau mbele chake tofauti
Si wote wameweka ndoa Kama priority ya kwanza.
Lengo lake ni hilohilo nililolisema.
Na wewe unataka kumtetea nikujumuishe naye!?[emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Zipo siku mtu huwa unajisikia kujibizana na kukimbizana kimaandishi na watu, na maranyingi huwa ni pale unaposema ukweli kwa 100 asilimia ama kusema uongo kwa 100 asilimia. huu uzi utafurahisha watu flani pia utakera sana watu flani na yote ni kutokana na vile mtu atayachukulia yale yaloandikwa na mtoa mada na maoni ya watu wengine
 
I see alot of shaming tactics from older women here. Listen men, women use shaming tactics to pin down men in arguments kama wanavyofanya katika mada hii, kama umeanza ku-date na manzi uliyemkuta ana miaka zaidi ya 25 jua tu hapo unalamba galasa (she sees you as retirement plan after her prime years, 18 ~ 22). From my vast experience, almost all good girls are taken by 25.​
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba unaenda kuokota Wastaafu Daah

Kuna mtu huko juu alisema sahivi Mpango Ni watoto wa 2000's.
 
Sawa mstaafu mwenzao
 
Hahaha
 
KW akili hii sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…