Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Bado ni katoto. Wakifika ule umri huwa tunazungumza nao lugha moja ya kiume. Wanakuwa wapole, waelewa na wamapokea hata mwanaume mbeba viroba ujuaji wote unakuwa mfukoni.Stress sio poa, kama huyo Cariha nina uhakika umri umeendaaa sana halafu namba hazisomi
Huyu bado hajafika walipo dada zake maana hawa wao walikuwa kama yeye kipindi hicho. Kwa bahati mbaya hizi social media hazikuwapo ila tungemuwekea hapa ushahidi aone yeye si wa kwanza kubisha.