Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Exactly Mkuu

Swala lilikua ni uelewa tuu
Jamaa kaongea kitu helpful Sana

Mimi Leo/kesho nikipata Mdada wa Namna hiyo nitachukulia maanani Sana Swala la feeling zake kwangu
I wonts mess with her feelings kabisa
You said well dude. Tusiangalie matamanio au mahitaji yetu tu ya kimwili pia tuzingatie na kuzijari hisia zao. Binafsi siko tayari kumuona mwanamke anatoa chozi kwasababu yangu. It'd once happened and haunted me before I asked her for a forgiveness na mpaka sasa ni friend with benefit na tunufurahia urafiki wetu pamoja na kuwa yeye yupo kwenye ndoa sasa.
 
kwani we una umri gani...tuanzie hapo
 
Kila mwanamke ana kipao mbele chake tofauti
Si wote wameweka ndoa Kama priority ya kwanza.
Lengo lake ni hilohilo nililolisema.
Na wewe unataka kumtetea nikujumuishe naye!?[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kama utaona inafaa kwa upande wako waweza kunijumlisha ingawa mtazamo wako na wangu ni tofauti juu ya mleta uzi.
Ah now I get you while you got him wrong; Alisema kwa ambaye anayetaka ndoa au mtoto ndio wanakuwa very desperate, kwa ambaye ndoa si kitu chochote huyo kula maisha, kuendelea kutafuta pesa, kuendelea kusoma kimojawapo kitakuwa priority yake ni sawa tu.
 
Ni ubaguzi tu
 
Daa wewe unawaita dada zako wastaafu? Kwani mtu akitaka kuoa si anachagua ampendaye? Wanaume wengi hamuoi huku mtaani wanashinda wanavuta bangi sasa hao waolewe na nani?
 
Haha you have nailed it bro but some of them will criticize you. Despite their retirement plan let's not play them a fool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…