Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Exactly Mkuu

Swala lilikua ni uelewa tuu
Jamaa kaongea kitu helpful Sana

Mimi Leo/kesho nikipata Mdada wa Namna hiyo nitachukulia maanani Sana Swala la feeling zake kwangu
I wonts mess with her feelings kabisa
You said well dude. Tusiangalie matamanio au mahitaji yetu tu ya kimwili pia tuzingatie na kuzijari hisia zao. Binafsi siko tayari kumuona mwanamke anatoa chozi kwasababu yangu. It'd once happened and haunted me before I asked her for a forgiveness na mpaka sasa ni friend with benefit na tunufurahia urafiki wetu pamoja na kuwa yeye yupo kwenye ndoa sasa.
 
Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
kwani we una umri gani...tuanzie hapo
 
Kila mwanamke ana kipao mbele chake tofauti
Si wote wameweka ndoa Kama priority ya kwanza.
Lengo lake ni hilohilo nililolisema.
Na wewe unataka kumtetea nikujumuishe naye!?[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kama utaona inafaa kwa upande wako waweza kunijumlisha ingawa mtazamo wako na wangu ni tofauti juu ya mleta uzi.
Ah now I get you while you got him wrong; Alisema kwa ambaye anayetaka ndoa au mtoto ndio wanakuwa very desperate, kwa ambaye ndoa si kitu chochote huyo kula maisha, kuendelea kutafuta pesa, kuendelea kusoma kimojawapo kitakuwa priority yake ni sawa tu.
 
Kama utaona inafaa kwa upande wako waweza kunijumlisha ingawa mtazamo wako na wangu ni tofauti juu ya mleta uzi.
Ah now I get you while you got him wrong; Alisema kwa ambaye anayetaka ndoa au mtoto ndio wanakuwa very desperate, kwa ambaye ndoa si kitu chochote huyo kula maisha, kuendelea kutafuta pesa, kuendelea kusoma kimojawapo kitakuwa priority yake ni sawa tu.
Ni ubaguzi tu
 
Ukiwa mkweli sharti usiogope mapovu. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya 18+30.
Kama unataka mwanamke wa kuoa ambaye atakuheshimu na kukufurahisha otea kwenye 18-25.
Mungu mwenyewe alimteua mwanamke amzaye Yesu pindi Bikira Maria alipokuwa kwenye 17-19, akiwa bado mbichi kabisa....sasa wewe unaenda kuokota wastaafu wa 30-40 umekuwa nyumba ya kutunza wazee?
Daa wewe unawaita dada zako wastaafu? Kwani mtu akitaka kuoa si anachagua ampendaye? Wanaume wengi hamuoi huku mtaani wanashinda wanavuta bangi sasa hao waolewe na nani?
 
I see alot of shaming tactics from older women here. Listen men, women use shaming tactics to pin down men in arguments kama wanavyofanya katika mada hii, kama umeanza ku-date na manzi uliyemkuta ana miaka zaidi ya 25 jua tu hapo unalamba galasa (she sees you as retirement plan after her prime years, 18 ~ 22). From my vast experience, almost all good girls are taken by 25.​
Haha you have nailed it bro but some of them will criticize you. Despite their retirement plan let's not play them a fool.
 
Back
Top Bottom