Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

An opinion is not a fact!
 
Hao ndio wenye soko kwa sasa 2000s
Issue ni hawa walianza kuzeeka, wanawaonea wivu hao 2000's ndio maana utasikia eti acha kutembea na watoto wadogo...
Kumbe wanakwepa ushindani.
Endelea kucheza na watoto mkuu
Unachokitafuta utakipata
 
Sawa mstaafu mwenzao
Nani alikwambia wanaume huwa tunastaafu kwenye game?

Mwanamke anatakiwa kukimbizana na muda maana reproductive age yake ni limited. Ndio maana ana mature fasta kuliko mwanaume, mwanamke akifikisha 45 game imeisha hiyo.

Lakini wanaume tukifikisha hata 35 ndo panakucha hata 40 bado tupo asubuhi....hivi umesahau ule msemo wa kiume kwamba life starts at 40?
 
Huo ni msemo wako kikongwe
 
Sasa hapo kiingereza cha kuunga unga kiko wapi bidada?
Hayo ndio madhara ya kusoma Udom, no wonder Magufuli aliwaita vilaza.
Sawa kipanga
Mimi ni kilaza ndiyo maana nimemtaka asitumie kiingereza maana sijaenda shule.

Kuhusu UDOM kaanzishe na wewe chuo chako tuone[emoji1787]
 
Jambo ambalo nina uhakika nalo kwa asilimia zote ni muonekano wa mwili wako, mtu akikuona kwa mbali anaweza akahisi wewe ni katoto ka form two.
Piga ramli tena na Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatujaziona
Sasa kama unaowapigia hawajaziona basi ujue umetwanga maji kwenye kinu
Eti hatujaziona kama vile mpo kikundi cha watu nyuma ya hiyo Id.
Unatengeneza taswira ya wingi ili upate back up, kwenye huo utopolo walo, hili unakufa nalo mwenyewe mzee
 
Baadae nita toa uzi wa kwanini wanaume wenzangu tusi test kabisa mahusiano na mwanamke wa 27+. We uki beep anapiga.
Stay tune later...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…