Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Hahahaha...wakishua..au watoto wenye kazi...We bwege kweli...huyo dada anakazi na anahela yakr..wewe unamuona wakishua coz huna hela wala.kazi.unatembeza CV
 
Mwanaume anaoa akiwa na uwezo...Tu sio lazima awe na magari na manyumba...Wanaume wasiosoma wanaoa na wanakipato cha kawaida...Nyie ndo mnataka mpaka mjenge na Kununu amagari na Kuwa na biashara..

Mtafika hiyi 40mnasimamisha kwa shida tu
 
Unadhani utafanya kazi benk bila connection.
Wakishua wanajulikana sio mpaka akwambie. Fanya tafiti boss ndo ujenge hoja.
Kuanzia 27 mentality ya mwanamke huanza kubadilika wengi wao hutaka kusetle na mwenza wao.
Wewe...Ni POPoma tu...story zako za mtaani na fb unaleta hapa..mbona mimi nilipata kazi bank bila connection...Njaa zako zinakusumbua kijana.
 
Mwanaume anaoa akiwa na uwezo...Tu sio lazima awe na magari na manyumba...Wanaume wasiosoma wanaoa na wanakipato cha kawaida...Nyie ndo mnataka mpaka mjenge na Kununu amagari na Kuwa na biashara..

Mtafika hiyi 40mnasimamisha kwa shida tu
Kwenye huu uzi wanawake wengi mmekazana kusema Me above 40 wamepungukiwa nguvu, ndipo najiuliza mtakuwa mmeyajulia wapi?

Kumbe mlipokuwa kwenye kilele chenu 18-25 mlidanga na hawa above 40 na kuwapuuza rika lenu. Sasa giza linaingia mnakazana kumdandia yeyote mradi na nyie eti mpate ndoa.

Nyie si mlikuwa mnaambukiza ujinga namna ya kudanga vibabu? Mkajifunze pia namna ya kuolewa na vibabu.
 
Okay embu Endelea kidogo
 
Comment ya BUSARA Sana hii
 
Nakufahamu vzr sana wewe...ivi ubishi ujaacha tuu???
 
Sasa kama huoni faida ya kuoaa..unataka kuiona kabla kuoa...Unachekesha..ndo shida ya majobless
Kwanini nioe ilihali nipo satisfied na maisha ninayoishi?

Nipo huru kufanya chochote nachopenda, na yeyote nitakaye, kwenda popote napopenda bila kuulizwa na yeyote.

Uhuru wangu nauthamini Sana, ndo maana sitaki pingu uchwara za kinachoitwa ndoa
 
Sijui Ndugu yangu unaamini...Dini gani

Ila ikifika mahala dhambi unaisherekea na kujisia yaaani dhambi imependeza machoni mwako. Unakoelekea NI MAJUTU

KILA la kheri katika kutafuta PESA..Maana hiyo ndo huna..inawezekana unautajiri wa Akili za Chuo kikuu...na Zinaaa..

Vijana Zinaaa Ni uchafu Hebu zindukeni.. haya mnayoyaendekza mwisho wake Mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…