Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Whoooi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Last born mwenzako kesho anasafiri, sasa kwavile madingi wanaishi mbali na main road wakati anatakiwa kuondoka alfajiri; basi kanipigia kwamba anakuja kulala home!!!
Nimemwambia ashibe kwao huko huko kwa sababu there's no way naweza kupinda mgongo eti nimpikie yeye dume zima lisiloweza kutengeneza hata tambi!
First born una roho ngumu namna hiyo!???
Embu mpikie mtoto mziwanda jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]