Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Daah! Noma sana
 
Mada zako hizi, nadhani hata lunch/dinner unaweza kusahau[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]my bro Elly not true most of the time nikiwa huku nakuwa na mood ya kupovusha watu siku ingine hamu Sina kabisa.
 
Ukitaka kugombana na mwanamke muulize ana umri gani[emoji23][emoji23]

Tena Ikatokea huyo Ke akawa >27yrs,, hakika utapiata[emoji1787]
Mbona Mimi umri mkubwa humu na ninajisema status yangu, so inategemea mtu na akili yake ka anasikiliza wapuuzi lazima akose furaha, Ila disminder ka Mimi I don't care kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23]my bro Elly not true most of the time nikiwa huku nakuwa na mood ya kupovusha watu siku ingine hamu Sina kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha kwangu wadada wote wenye miaka 27 na kuendelea[emoji23] [emoji23]
 
Nope sija sema watoto wakishua pekee hata wanawake wa kawaida. Issue ni umri na kwa pande zote za ukishuani na uswahilini kuna impact zake.
Sidhani kama mtoto wa kishua ucheze na feelings zake akuache salama. Vivo hivyo kwa mwanamke wa uswahilini, anaweza hata kukuendea kwa mganga
Hapo ndipo alipoteleza ila mada yake ipo vizuri na inaeleweka.
Sijui watu wanabisha nini....ila huo ndiyo ukweli aliousema.
 
Me sija msema mtu kaka, we are here to learn and share ideas. Me natoa ushauri na nasaha kwa vijana wenzangu. Nimekosea nini
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanamke yeyote mzuri anaolewa mapema. Labda kama awe na tatizo au shida fulani.
Tunajua kabisa mpaka kufika 27+ si chini ya mahusiano 5 umesha yapitia. Unategemea nini hapo.
 
Kwaiyo wewe unataka watoto wa kishua..si umeenda huko maofisini hujawaona?.. kwanza utawapa nini.. ndo nyie mnaotaka kulelelwa...WEAK MAN
Naongelea uhalisia siku hizi wanawake wengi hawaolewi. Unakuta mdada mzuri anakazi yake na kwao yuko vizuri lakini bado anasota. Mwishowe anakuja toka na dereva boda boda au mtu ambaye sio level yake. Ukicheki age yake imeenda na wazazi wanaona aibu kwa elimu walio wekeza mwanao kuolewa au kuzalishwa na mwanaume ambaye sio hadhi yake.
Kumpa mwanamke nini sio jukumu lako kujua. Nachosema ni kimoja women above 27 are desperate for marriage.
 

Doubtlessly you are 27+
 
Hahahaha...wakishua..au watoto wenye kazi...We bwege kweli...huyo dada anakazi na anahela yakr..wewe unamuona wakishua coz huna hela wala.kazi.unatembeza CV
Sawa sina hela ila nikimwambia nataka kumuoa atakubali na hela yake nakula. [emoji846][emoji846][emoji846]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…