Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

ila kweli lakini kuna mabaharia wanaweza mtu anadate na mwanamke mwenye 27+ kwa hata miaka 4 then anampiga chini
 
Alipokosea ni kusema wa kishua ila ni kwamba umri huo wengi wanakuwa kwenye mihemko ya kutaka kupata ndoa na kutaka kuzaa, hilo naweza kumuunga mkono kwa asilimia flani, halafu hyo rika yakupasa uwe muwazi maana usipokuwa muwazi unaweza ukajikuta umeoa mwanamke usiyempenda. Uwazi ni kuwa unapiga na kusepa au unapaki Lori.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] stakafilulaa
 
Hahahaha...acha kujifariji Wewe....Tena Wewe ndo utazeeka vibaya miaka 35 TU kisukari hichi hapa..unapiga goli Moja kwa shida...
duh goli moja!!? sasa goli moja mbona nakuwa cjakufaidi si bora tusifanye tu. 35 mapema sana
 
Tena wewe na kuzibua mwenyewe.
Mwanaume wangu hawezi gombana na vitu vya ajabu [emoji1787][emoji1787]
Sawa unauwezo wa kuandika chochote.
Ila muombe sana Mungu katika maisha yako usiwahi kukutana na mimi kwenye hiyo hali "eti unampiga mwanaume" nikishuhudia.
 
Uzi Closed!
 
Very unfortunate usingizi umepotea na nimeona huu ndo wakati sahihi wa kueleza kwanini Vijana wenzangu au wanaume wenzangu tuwe makini na wadada above 27+

1. Wanaume najua tuna tabia ya kujaribu(kutest) kutongoza kama ata kubali au atakataa. Tukishaona pisi kali yeyote basi tunaona wacha turushe ndoano. Mara imenasa. Kuna wanawake ukimwambia I love you anaweza waambia familia nzima kuwa tayari ana mtu na anataka kumuoa. Kama ulijua utapita basi kwako wewe kafika.

2. Women wana choice za wanaume wanaotaka kudate nao. So kama upo kwenye selection yake na ukapata chance ya kupiga sound basi usha mpata. They know choices zisha anza kuwa few so one mistake one goal. They dont wanna mess with that chance.

3. Lengo la kuwa mwenye mahusiano ni lipi. Wengine wapate mtoto au wapate mapenzi sahihi. So kama we ulijua utapita tu. Una shangaa ana relationship ya one month na mimba tiyari kabeba. Sasa unajiuliza ulikuwa hutaki kuwa baba na you are now becoming one. Take responsibility as a man as long as mimba ni yako.

4. Kuna true love kwa hili rika sana ila kuna uwongo mwingi pia haswa wa kuhusu mahusiano yazamani. Wanajua kabisa ukiyajua yanaweza leta mtafaruku au kuharibu mahusiano yenu. But wengi wao wapo clean na all they need from you is true love.

5. Wanafaa kuwa wife material haswa kwa vijana ambao wanataka kufanikiwa haraka kimaisha kwa maana ya kimtazamo na ushauri. Wengi wao wanakuwa washa pitia changamoto kadhaa. Japo sio wote utakuta hawaja tumika sana.

Ni ushauri tu na experience nilo iyona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…