Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Umenusurika kulogwa ww c bure hii
 
Kiongozi tusibishane nenda maofisi kwa watu fanya utafiti alafu uje na majibu.
Nakupa mfano mdogo tu nenda ofisi za serikali utawaona wadada kule uliza kama wameolewa na umri wao. Kiufupi usipinge bila kuwa na utafiti.
 
Halafu wanaoleta hizi mada mara nyingi unakuta hata hawaeleweki.
Siyo mfukoni, kazi unakuta hana,ukikaona hata hakaeleweki.
 
Ww dada unahitaji maombez umpokee yesu kuwa bwana na mwokoz wako
 
Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.

Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.

Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?

Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
 
Kiongozi tusibishane nenda maofisi kwa watu fanya utafiti alafu uje na majibu.
Nakupa mfano mdogo tu nenda ofisi za serikali utawaona wadada kule uliza kama wameolewa na umri wao. Kiufupi usipinge bila kuwa na utafiti.
Wanawake ndiyo wanaoa?

Utasema hawaonyeshi tabia za kuolewa hivyo wanaume wanawakimbia.

Je, hao wenye tabia njema mnawaoa?
 
Sijaumizwa na yeyote ila naona tabu wanazo pitia dada zetu pindi umri wao unapikaribia na 30.
Hahaaa una matatizo wewe Yani umri wa wanawake ukuumize ili iweje maisha ni zaidi ya ngono, na jifunze ku mind bussiness yako mwisho utakuwa mchawi sasa, maisha na umri wa watu ambao ni Jambo la kawaida vikuumize jichunguze wewe
 
Unahangaika sana
Nilijua tuu MAPOVU Hayatakosa

Kosa la mtoa Mada Liko Wapi ??
Kwan ni uongo wadada wenye 27+ Swala la ndoa Linawapasua vichwaa ??

Kila Siku Tunapishana nao makanisani wanaombewa Au mumesahau upepo wa kisurisuri wa marehemu Mama Rwakatare

The issues is TUWE NAO MAKINI Sababu wako Desperate na Ndoa Mbona Mada inaeleweka
[emoji28][emoji28][emoji1]
 
Hapo mnapo jaribu kushindana na maisha basi umri unakutupa mkono.
The more you get older choices zina pungua ndio maana ukisikia suala la ndoa una kuwa attention
 
Unahangaika nao wa nini kama hawakuhusu?
Miaka yao wenyewe halafu mkahangaike wengine?
Wivu ni kidonda
 
Nashukuru kwa support kiongozi hawataki kuambiwa ukweli
 
Kama mwanamume una ndoto za kuoa, umri mzuri wa Ke ya kuoa ni 19-25.

Huo umri bado ni samaki mbichi, unaweza kumkunja utakavyo.
Zaidi ya hapo ujiandae maana tayari keshakuwa nunda. Above 25 kuna uwezekano keshakutana na masahibu mengi kitu kitakachomfanya angie kwenye mahusiano kwa kujihami.
 
Sio povu lazima tuwaambie ukweli mzibuke akili zenu kichwani, ujue wanaume wasio na mbele na nyuma ndio huhangaika na wanawake ili wajifariji mioyoni mwao badala ya kutafta maisha.
Kuna dada ni blog maarufu na nigeria ana hela zawadi kajipa range rover chakushangaza wanaume wasio na mbele Wala nyuma hata bicycle hawana wakawa Wana mshambulia na kumtusi. So kwa Africa wanaume wamepoteza uanaume wao asilimia zote
 
Hapo mnapo jaribu kushindana na maisha basi umri unakutupa mkono.
The more you get older choices zina pungua ndio maana ukisikia suala la ndoa una kuwa attention
Maisha lazima tushindane nayo. Enzi za mwanamke kukaa ndani kusubiri kupewa zilishaisha.

Enzi za mwanamke kuteseka baada ya mume kufariki kisa alikuwa Kakaa ndani analetewa tu ziliisha.

Sasa hv tunapambana. Unaweka mboga naweka ugali. Hao under 27 labda ndio desperate sababu hawajajijenga na wanaona maisha bila mwanamme hayaendi.

Over 27 is legit. Focused, ambitious and woke women.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…