Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 517
- 1,045
- Thread starter
- #61
Nimekutaja jina. Tupo hapa kuelimishana nimetoa ushauri kwa vijana wenzangu wasije ingizwa mkenge either kwenye ndoa au kuitwa baba bila ya matarajio yao.Message ipi sent kijana?
Pambana na hali yako,acha kujadili watu.