Hawana mbele Wala nyuma wanaume design hata shule yao ni ndogo so it's obvious uelewa mdogoHalafu wanaoleta hizi mada mara nyingi unakuta hata hawaeleweki.
Siyo mfukoni, kazi unakuta hana,ukikaona hata hakaeleweki.
Message ipi sent kijana?It doesn't matter with what you think ila message sent.
Usitukane mamba kabla huja vuka mto lakini.
Hivi we Mzimaa kweli ?! Sasa naonaje Wivu kwenye swala kama hilo...Yani mtu ana miaka 30 Hajaolewa Mimi nione wivu !?Unahangaika nao wa nini kama hawakuhusu?
Miaka yao wenyewe halafu mkahangaike wengine?
Wivu ni kidonda
Wanawake ndiyo wanaoa?
Utasema hawaonyeshi tabia za kuolewa hivyo wanaume wanawakimbia.
Je, hao wenye tabia njema mnawaoa?
Unahoja nzuri....Kama mwanamume una ndoto za kuoa, umri mzuri wa Ke ya kuoa ni 19-25.
Huo umri bado ni samaki mbichi, unaweza kumkunja utakavyo.
Zaidi ya hapo ujiandae maana tayari keshakuwa nunda. Above 25 kuna uwezekano keshakutana na masahibu mengi kitu kitakachomfanya angie kwenye mahusiano kwa kujihami.
Kwanza wanaume wenye akili huwezi kuwakuta wapo kujadili miaka ya wadada huku.Hawana mbele Wala nyuma wanaume design hata shule yao ni ndogo so it's obvious uelewa mdogo
Message ipi sent kijana?
Pambana na hali yako,acha kujadili watu.
Mimi mzima wa afya kabisa.Hivi we Mzimaa kweli ?! Sasa naonaje Wivu kwenye swala kama hilo...Yani mtu ana miaka 30 Hajaolewa Mimi nione wivu !?
Tunahangaika nao Sababu tuna date nao
Lazima tujue tunadate nao vipi
Kwanza wanaume wenye akili huwezi kuwakuta wapo kujadili miaka ya wadada huku.
Mfupa upi umegusa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekutaja jina dada. Kweli leo nimegusa mfupa wa mtu
NdiyoAre you sure
Ukiwa mkweli sharti usiogope mapovu. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya 18-30.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wala hakuna kuumizwa hapa na wala sija mkashifu yeyote nasema ukweli. Kama ni uwongo tetea hoja yako
Sahihi kabisaKama mwanamume una ndoto za kuoa, umri mzuri wa Ke ya kuoa ni 19-25.
Huo umri bado ni samaki mbichi, unaweza kumkunja utakavyo.
Zaidi ya hapo ujiandae maana tayari keshakuwa nunda. Above 25 kuna uwezekano keshakutana na masahibu mengi kitu kitakachomfanya angie kwenye mahusiano kwa kujihami.
I like that lakini ndoa muhimuMaisha lazima tushindane nayo. Enzi za mwanamke kukaa ndani kusubiri kupewa zilishaisha.
Enzi za mwanamke kuteseka baada ya mume kufariki kisa alikuwa Kakaa ndani analetewa tu ziliisha.
Sasa hv tunapambana. Unaweka mboga naweka ugali. Hao under 27 labda ndio desperate sababu hawajajijenga na wanaona maisha bila mwanamme hayaendi.
Over 27 is legit. Focused, ambitious and woke women.
Uko sahihi mno Mimi wengi wanaozalilisha wanawake humu ni choka mbaya, wanaume matured huwezi kuta wanabishana vitu vya hovyo na wanawakeKwanza wanaume wenye akili huwezi kuwakuta wapo kujadili miaka ya wadada huku.
Mkuu hii nchi iliyojaa maskini hao watoto wa kishua unawaona wapi wewe? Mie kutwa nakutana na jobless wanaotafuta kazi wenye umri huo.Tunaoa ni sisi wanaume shida ni moja kwa wanaume kuoa watoto wa kishua. Kwanza wanakuwa wamekuzidi kipato, kazi nzuri. Na hata hivo mda wa wewe kuonana nao uko wapi mara nyingi wanakuwa wapo kazini ili umpate lazima na wewe uwe kwenye circle yake ya kazi au nyumbani.
Naongelea mtoto wa geti kali akirudi ndani, akitoka kazini. Weekend anaenda party au outing na wenzake. Utampata wapi?
Wenye akili wako busy na vitu vya maana hukoUko sahihi mno Mimi wengi wanaozalilisha wanawake humu ni choka mbaya, wanaume matured huwezi kuta wanabishana vitu vya hovyo na wanawake
Yes but don't pressurize women into marriage making them feel like 27 years old is too old.I like that lakini ndoa muhimu