Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Tunaoa ni sisi wanaume shida ni moja kwa wanaume kuoa watoto wa kishua. Kwanza wanakuwa wamekuzidi kipato, kazi nzuri. Na hata hivo mda wa wewe kuonana nao uko wapi mara nyingi wanakuwa wapo kazini ili umpate lazima na wewe uwe kwenye circle yake ya kazi au nyumbani.
Naongelea mtoto wa geti kali akirudi ndani, akitoka kazini. Weekend anaenda party au outing na wenzake. Utampata wapi?
Wanawake ndiyo wanaoa?

Utasema hawaonyeshi tabia za kuolewa hivyo wanaume wanawakimbia.

Je, hao wenye tabia njema mnawaoa?
 
Kama mwanamume una ndoto za kuoa, umri mzuri wa Ke ya kuoa ni 19-25.

Huo umri bado ni samaki mbichi, unaweza kumkunja utakavyo.
Zaidi ya hapo ujiandae maana tayari keshakuwa nunda. Above 25 kuna uwezekano keshakutana na masahibu mengi kitu kitakachomfanya angie kwenye mahusiano kwa kujihami.
Unahoja nzuri....

Hili hutokea mara nyingi kwa ambao hawakuendelea na shule.

Ila nyie mlioendelea na shule mkamaliza na degree wengi ni ngumu.

Wengi mnamaliza masomo tayari mna 25. Mnasota kitaa miaka 3 mwaka wa tano ndiyo mnakuwa stable.

Na nyie wengi wenu hamuoi darasa la saba mnao wafanyakzi wenzenu.

Umri wa huyo mfanyakazi haurudi nyuma....
 
Hivi we Mzimaa kweli ?! Sasa naonaje Wivu kwenye swala kama hilo...Yani mtu ana miaka 30 Hajaolewa Mimi nione wivu !?

Tunahangaika nao Sababu tuna date nao
Lazima tujue tunadate nao vipi
Mimi mzima wa afya kabisa.

Hajaolewa ni yeye,kwanini mnyanyue midomo kuwasema??
Wasipoolewa wanawapunguzia nini nyie?
Kukaa na kuwajadili ndio wivu wenyewe huo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wala hakuna kuumizwa hapa na wala sija mkashifu yeyote nasema ukweli. Kama ni uwongo tetea hoja yako
Ukiwa mkweli sharti usiogope mapovu. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya 18-30.
Kama unataka mwanamke wa kuoa ambaye atakuheshimu na kukufurahisha otea kwenye 18-25.
Mungu mwenyewe alimteua mwanamke amzaye Yesu pindi Bikira Maria alipokuwa kwenye 17-19, akiwa bado mbichi kabisa....sasa wewe unaenda kuokota wastaafu wa 30-40 umekuwa nyumba ya kutunza wazee?
 
Kama mwanamume una ndoto za kuoa, umri mzuri wa Ke ya kuoa ni 19-25.

Huo umri bado ni samaki mbichi, unaweza kumkunja utakavyo.
Zaidi ya hapo ujiandae maana tayari keshakuwa nunda. Above 25 kuna uwezekano keshakutana na masahibu mengi kitu kitakachomfanya angie kwenye mahusiano kwa kujihami.
Sahihi kabisa
 
Maisha lazima tushindane nayo. Enzi za mwanamke kukaa ndani kusubiri kupewa zilishaisha.

Enzi za mwanamke kuteseka baada ya mume kufariki kisa alikuwa Kakaa ndani analetewa tu ziliisha.

Sasa hv tunapambana. Unaweka mboga naweka ugali. Hao under 27 labda ndio desperate sababu hawajajijenga na wanaona maisha bila mwanamme hayaendi.

Over 27 is legit. Focused, ambitious and woke women.
I like that lakini ndoa muhimu
 
Tunaoa ni sisi wanaume shida ni moja kwa wanaume kuoa watoto wa kishua. Kwanza wanakuwa wamekuzidi kipato, kazi nzuri. Na hata hivo mda wa wewe kuonana nao uko wapi mara nyingi wanakuwa wapo kazini ili umpate lazima na wewe uwe kwenye circle yake ya kazi au nyumbani.
Naongelea mtoto wa geti kali akirudi ndani, akitoka kazini. Weekend anaenda party au outing na wenzake. Utampata wapi?
Mkuu hii nchi iliyojaa maskini hao watoto wa kishua unawaona wapi wewe? Mie kutwa nakutana na jobless wanaotafuta kazi wenye umri huo.

Au hata mtoto wa daktari kwako ni wa kishua!.... hapa naongelea mtoto wa kishua ni yule aliyemaliza chuo akaunganisha masters Ulaya au State...akarudi akasimamia biashara ya mzee au akatupwa kwenye taasisi nzuri...

Watoto wa kishua hukutani nao kijinga kijinga...tena wananyan'ganyanwa maofisini.
 
Uko sahihi mno Mimi wengi wanaozalilisha wanawake humu ni choka mbaya, wanaume matured huwezi kuta wanabishana vitu vya hovyo na wanawake
Wenye akili wako busy na vitu vya maana huko
Ila hawa kajambanani kutwa kuandika utopolo kama wa mtoa mada.
 
I like that lakini ndoa muhimu
Yes but don't pressurize women into marriage making them feel like 27 years old is too old.

That's a big fat lie.

Binti yako utakatiza ndoto zake ili aolewe sababu unadhani 27 years Ni too old.

Acha hizo wewe. Ask yourself if this advice is the same that you would apply to your son or if you would push your daughter into marriage because of your narrow thinking.
 
Back
Top Bottom