Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

You get what you give. Unatukana sana na wewe utukanwe sana hakuna middle ground, na wala usisingizie ID ni mtu mmoja na wala sio mods hapa hujui anaye ku attack umebaki una guess inaonekana watu wengi una matatizo nao badilika aseee.
Hahaaaa nibadilike ili iweje Sasa
 
Hapa wana guess maana ni watu wengi wanawakosea si umekaona kanasema waligombania bwana na ID flani ndio kanahisi kapuuzi kweli. Angekomaa hata apake mafuta awe na nuru.
[emoji1][emoji1][emoji1]kwahyo una ji quote with other IDs sio
 
Hujui vita unagombana na nani
Ushauri rudi kwa yule nabii Sinza kwa Remmy aanze kukuombea upya stress zitakuua.
Wewe ushapatq kilichokupeleka maana una bung'aa tu shoga angu maana wewe mwenyewe umepauka tu
 
Alijitongozesha kwa bwana wa mtu that why kanahisi mwenye bwana kaja kashambulia [emoji23][emoji23]
Mtu gani anagombana na kila mtu.
Hahaaa eti alijitomgozesha na wewe jitongozeshe basi [emoji1][emoji1] only jealous will kill you honey
 
Back
Top Bottom