Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Yeah kinachotaka kutokea hapa si kigeni nadhan kuna member kama sikosei ni Nifah na nan yule walikuwa mahasimu kweli lkn nadhan ss hivi wanapika na kupakua,niwatakie kila la kheri cariha na mwenzako
 
Yeah kinachotaka kutokea hapa si kigeni nadhan kuna member kama sikosei ni Nifah na nan yule walikuwa mahasimu kweli lkn nadhan ss hivi wanapika na kupakua,niwatakie kila la kheri cariha na mwenzako
😂😂😂😂😂 hao umenikumbusha mkuu, lakini hata wenye hawakuwa wa kwanza vile vile.
 
Umri wa upenzi au uchumba unapohojiwa kuwa mkubwa au mrefu unatoa mwanga wa angle za majibu kwa uwanda mpana, dating isn't marriage ndio shida ya umburura wa kiafrika.
 
Yeah kinachotaka kutokea hapa si kigeni nadhan kuna member kama sikosei ni Nifah na nan yule walikuwa mahasimu kweli lkn nadhan ss hivi wanapika na kupakua,niwatakie kila la kheri cariha na mwenzako
Mkuu I assure you, humu JF staki mpenzi wallah yoyote na hiyo technique haiwez kuweki kwangu, Yani kuwa na mahusiano na mtu ambaye mitazamo yetu tofauti, he is toxic na ana pain zake he needs to heal first, anaamini kwenye ukandamizaji wa wanawake I don't believe that, daily kunitukana humu JF matusi na kila comments huyo, aisee ni vile hizi fake I'd tu hata angekuwa mume wa ndoa ningemshikisha adabu mpaka anyooke, siamini kwa watu wenye tabia za kishenzi shenzi Kama zake aisee never.
So hata kuniona hanioni Yuko ignore list forever here in JF, na huwa na block watu siwafungulii kamwe oooh.
 
never again shall I date a girl minus 7 my age
 
Unadhani utafanya kazi benk bila connection.
Wakishua wanajulikana sio mpaka akwambie. Fanya tafiti boss ndo ujenge hoja.
Kuanzia 27 mentality ya mwanamke huanza kubadilika wengi wao hutaka kusetle na mwenza wao.

Umeongea wewe ila naona aibu mimi, Mkuu kufanya kazi Bank unaona ni issue sana ehee??
 
Ila JF kiboko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

30 - 40 Wastaafu??

Nimecheka kama mazuri, jamani msikashifu hivi watu.
 
Ila JF kiboko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

30 - 40 Wastaafu??

Nimecheka kama mazuri, jamani msikashifu hivi watu.
Kicheko chako kinanipa walakini.
Lakini hata kama ushastaafu bado unaweza kupata kazi private, mradi tu injini iwe imara.
 
[emoji23]

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…