Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Umefika shoga yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefika shoga yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Notification gani yake niione wakati Yuko kwa ignore list tayari shamtia kwenye dustibin, huwezi anzisha mahusiano na mtu mwenye personality disorder utegemee jipya. Huyo akafie huko na huyo ka mwanaume mwenzenu mpelekeni mirembe akatibiwe acheni kumtia ndimu huyu na depression zakeHii comment yako inathibitisha hoja yangu.
Kumbe ushaanza kuvuta hadi picha ya kukutana naye? Tena unawaza hadi 'bastola'?[emoji28] .... vizuri sana.
Licha kwamba unatuzuga ni mgonjwa wa akili lkn huko uliko ukiona notification yake kuna nati zinalegea....ungekuwa na akili timamu usingejisumbua machana hadi usiku wa manane kumjibu mtu unayesema ana ugonjwa wa akili.
Haya ni mambo ya kawaida kabisa, hata marafiki wa jinsia moja walioshibana ni wale walioanzia kwenye ugomvi.
Yaani unakutana na mtu siku ya kwanza mnagombana halafu baadae mnakuja kuwa marafiki wakubwa. Imewahi kunitokea mara kadhaa.
Vita kama hii mnayofanya hapa usiku na mchana nakuwa nazo makini maana nazielewa zinakoishiaga.
Manaonekana mna mengi in common, nature ikiwa upande wenu mtakuja kujipatanisha kwa njia ya vikojoleo na ndio utakuwa mwisho wa vita.
Nasoma tu commentsMiss Renee yeye huwa hai engage herself in Arguments we have few ladies like This in Tz maybe the coming generation....
Hahaaa Hawa wapashkuna Wana mtia mwenzao ndimu na mifano irrelevant kabisaWe ulisikia wapi Cariha anataka kuwa na [emoji848]
Ngoja nikae kimya[emoji23][emoji850][emoji850][emoji850]
Maana nisije Liza watu humu[emoji1787]
Ila nahisi ukiamua kuchamba ni kichambo kwelilkweli coz wapole ndo huwa watukutu wa kimyakimyaNasoma tu comments
Nmefika nimevuta na kiti kabisa[emoji23]Umefika shoga yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We unajuaje kama mimi mpole?Ila nahisi ukiamua kuchamba ni kichambo kwelilkweli coz wapole ndo huwa watukutu wa kimyakimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmefika nimevuta na kiti kabisa[emoji23]
Hauna muda wa kubishana na mwandiko unaonesha dhahiri alafu kingine you're not talkativeWe unajuaje kama mimi mpole?
Wanawaza kwamba wewe baadaye uje udate na huyo msafwa!!!!!Hahaaa Hawa wapashkuna Wana mtia mwenzao ndimu na mifano irrelevant kabisa
Wewe Niko JF ka sehemu ya kujifunza Mambo na sio kutafta mahusiano na wagonjwa wa akili walioshindikana na maisha yao. So hyo ya love never kabisa over my deadbody loh.Yani Mkuu hata Mimi Nimetoka kusema huko juuPiga ua Galagaza hawa cariha na Samcezar wakikutana Live Lazima Sana kuwe na MAUPENDO ya kufa Mtu Aiseee
Mfano Mimi wakat niko Darasa la Sita na Saba kuna Demu furan tulikua haipiti wiki hatujapigana yani hivyo yani Mara anisemee kwa Mwalimu Nipigwe, Mara anifichie vitu vyangu, Mara anicheke, Yani Alimradi Tafrani pale. BUT THERE WAS A LOVE THERE. At the end of school tukawa tukoclose tunanunua msosi tunakula Pamoja tunaondoka wote shule
Tulikuja Date Vizuri After Form Four [emoji2][emoji2][emoji2]
Watake/Wasitake huo Ndio Ukweli
Na Nyie Wengine Acheni Ukorofi si Mkaushe [emoji38][emoji1]
Hahaaa Hawa wasafwa wa mporoto wanao undergo human evolution eeeh not me kwa kweli. JF ni social media na sio sehemu ya mahusiano kila mtu akafie mbali na stress zake. Tena humu wagonjwa ni wengi wanaohitaji tibaWanawaza kwamba wewe baadaye uje udate na huyo msafwa!!!!!
Aki ya Nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si bora mtu ufe single[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea, ukinitibua usidhan nitakua hivi.Hauna muda wa kubishana na mwandiko unaonesha dhahiri alafu kingine you're not talkative
Hakuna atakayekutibua endapo wewe sio mtibuajiInategemea, ukinitibua usidhan nitakua hivi.
No Mimi sijakuongopea kabisaHahaaa Hawa wapashkuna Wana mtia mwenzao ndimu na mifano irrelevant kabisa
Kwene kuongea ni kweli sio muongeaji ila nina ukorofi wa chini chiniHauna muda wa kubishana na mwandiko unaonesha dhahiri alafu kingine you're not talkative
Wapo wanaonitibua na wananielewa nikoje nikitibuliwaHakuna atakayekutibua endapo wewe sio mtibuaji
Watibuaji hutibuliwa na watibuaji
Ukorofi wa chini chini ndo mzuri haunaga shida huo ukorofi mbaya ni ule unao create attention na kuleta tafaraniKwene kuongea ni kweli sio muongeaji ila nina ukorofi wa chini chini
Okay Sawaa.Wewe Niko JF ka sehemu ya kujifunza Mambo na sio kutafta mahusiano na wagonjwa wa akili walioshindikana na maisha yao. So hyo ya love never kabisa over my deadbody loh.
Hafu huo mfano wako ni irrelevant maana Mimi msingi na olevel nimedunda Sana wanaume waliokuwa hawajielewi na hawajawahi dhubutu kuongelea ujinga wa mahusiano kabisa sembuse JF.
Mkuu haya mambo yapo. Mimi ilinitokea nikiwa form nyoko.Yani Mkuu hata Mimi Nimetoka kusema huko juuPiga ua Galagaza hawa cariha na Samcezar wakikutana Live Lazima Sana kuwe na MAUPENDO ya kufa Mtu Aiseee
Mfano Mimi wakat niko Darasa la Sita na Saba kuna Demu furan tulikua haipiti wiki hatujapigana yani hivyo yani Mara anisemee kwa Mwalimu Nipigwe, Mara anifichie vitu vyangu, Mara anicheke, Yani Alimradi Tafrani pale. BUT THERE WAS A LOVE THERE. At the end of school tukawa tukoclose tunanunua msosi tunakula Pamoja tunaondoka wote shule
Tulikuja Date Vizuri After Form Four [emoji2][emoji2][emoji2]
Watake/Wasitake huo Ndio Ukweli
Na Nyie Wengine Acheni Ukorofi si Mkaushe [emoji38][emoji1]