Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ushamba unamsumbua huyuI don't need negative energy kwa kweli, wakapumxike huko salama salimini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamba unamsumbua huyuI don't need negative energy kwa kweli, wakapumxike huko salama salimini
Dah vichaa wameongezeka Sana humu zamani mtu unajibiwa hoja vizuri sikuhizi ni personal matters sasa huyo ananifukuza humu JF ni yake kweli?Nashangaa anakwambia utoke[emoji1787][emoji1787]
Hi nchi vichaa hawataisha wallah
Hata Melo mwenyewe hajawahi kufukuza watu humu,
Mtu amekaa milimani uporoto huko anataka afukuze watu jf[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natania tu mi najifunza kiingereza hapa Ila sema nyie mbona watundu hivyo kweli ntaweza Ku approach hapaKabla hujaendelea dogo
Acha kulingana Gentlemen na vitu vya ajabu
Kwamba yeye cariha amekosa watu kabisa Hadi akafhukuliwe na watu waliochanganyikiwa?Sema Nyie kwa Mlipofikia Mkiwa Wapenzi itakua Bomba Sana [emoji16][emoji16]
Kakaa Samcezar chukua Mtoto huyoo
Me Naona kakuelewa ujue [emoji16][emoji16]
NB, #SijafataMatusi[emoji2][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]dah huyo naona ana matatizo makubwa ya kimaisha na Mimi staki toxic people in my life and negative energy, kwa kweli nimemupeleka kwenye dustibin ya ignore list I'm sure anatamani kupasuka wewe mtu saa kumi na moja kashaniamkia halali usingizi kisa Mimi huku JF.Tangu juzi hauchoki? Hauna kazi za kufanya? Hauna hata mchumba?
Ila acha nikupe sifa zako mkuu. Unajua kusutana hatari, unachambana wakina mwajuma ndala ndefu wakasome. Yaani wewe ni kiboko wa kusuta, hongera kwa kuwakilisha wavulana wenzako vizuri. Ayaa endelea kusutana bado kidogo utamshinda cariha .
Ukitaka dera na ngoma nishtue, ili umchambe vizuri.
Wote washamba tu wa mporoto haoDah vichaa wameongezeka Sana humu zamani mtu unajibiwa hoja vizuri sikuhizi ni personal matters sasa huyo ananifukuza humu JF ni yake kweli?
[emoji23][emoji23] Stress mbaya mwingine kapigwa ban kafungua mpya, badala watumie jf kujifunza wao sehemu ya mashindano
Yani Mimi wakutafta strange people wa JF watu wanaohitaji tiba ya mirembe Mimi nibebe aisee nitake radhi Niko JF Kama jukwaa na siko kutafta love au yoyote yuleSema Nyie kwa Mlipofikia Mkiwa Wapenzi itakua Bomba Sana [emoji16][emoji16]
Kakaa Samcezar chukua Mtoto huyoo
Me Naona kakuelewa ujue [emoji16][emoji16]
NB, #SijafataMatusi[emoji2][emoji23]
Aliamka tangu saa7 usiku[emoji23][emoji23][emoji23]dah huyo naona ana matatizo makubwa ya kimaisha na Mimi staki toxic people in my life and negative energy, kwa kweli nimemupeleka kwenye dustibin ya ignore list I'm sure anatamani kupasuka wewe mtu saa kumi na moja kashaniamkia halali usingizi kisa Mimi huku JF.
Ukimiona huyo mwenyewe utamuhurumia namushauri atafte wataalamu wamsaidie kwa kweliWote washamba tu wa mporoto hao
Kwanza hawana chochote kichwani zaidi ya matusi
Ni msafwa mmoja mshambamshamba tuUkimiona huyo mwenyewe utamuhurumia namushauri atafte wataalamu wamsaidie kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa ana shida maskini na usingizi hapati vizuri, dah ignore list Kuna mfaa kwa kweli. Sikujua kuwa Kuna wagonjwa wengi aangalie asi commit suicideAliamka tangu saa7 usiku
Utadhani anawanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Tena msafwa wa kule mporoto sioNi msafwa mmoja mshambamshamba tu
Sonona inamtesa. Anahitaji msaada.[emoji23][emoji23][emoji23]dah huyo naona ana matatizo makubwa ya kimaisha na Mimi staki toxic people in my life and negative energy, kwa kweli nimemupeleka kwenye dustibin ya ignore list I'm sure anatamani kupasuka wewe mtu saa kumi na moja kashaniamkia halali usingizi kisa Mimi huku JF.
Hukohuko,walivyo washamba sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Tena msafwa wa kule mporoto sio
Dah yaani atazimiss moments hizi za kuchat na wewe[emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa ana shida maskini na usingizi hapati vizuri, dah ignore list Kuna mfaa kwa kweli. Sikujua kuwa Kuna wagonjwa wengi aangalie asi commit suicide
Na kafika stage mbaya jinsi alivo na machungu mengi moyoni hata Mambo mengine anayofanya hayataenda kamwe. Mimi ninavojua mwanaume anayejielewa huwezi kuta ana sutana na wanawake, yeye hutafta hela, halafu huyu jamaa Sasa yeye anaamini akishambulia wanawake humu ndio anapona, kumbe anajiharibu.Sonona inamtesa. Anahitaji msaada.
Wewe mtu usiku badala alale anachambana. Badala akatafute hela anachambana. Hata kama ana stress za maisha huyu ndugu yupo kwenye hatua za mwisho za kudata.
Na anajiona shujaa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23] hyo ni expression of love au ni mtu mgonjwa wa akili ana matatizo na anahitaji tiba maana hyo behavior sio ya mtu mzima, hebu mshaurini mwanaume mwenzenu asije jiua kwangu anajisumbua tu na huo ujinga wake.Samcezar na cariha mnachokifanya hapa kinaitwa reversed expression of love.
Mnatumia negativities kuelezea hisia zenu....mnatukanana lakini hakuna anayekubali ku give up sababu mnapenda kuwa in touch.
Mkitoka hapa mtaelekea PM na mwisho wa siku ni 6*6 bila tambara lolote.
Imewahi kutokea hivi hivi hapa JF na sasa ni mume na mke.
Nawatakia kila la kheri[emoji28]
Basi Kuna mtu kamdanganya huko juu kwamba anapiga spanaNa kafika stage mbaya jinsi alivo na machungu mengi moyoni hata Mambo mengine anayofanya hayataenda kamwe. Mimi ninavojua mwanaume anayejielewa huwezi kuta ana sutana na wanawake, yeye hutafta hela, halafu huyu jamaa Sasa yeye anaamini akishambulia wanawake humu ndio anapona, kumbe anajiharibu.
Wanaume wenzake wameshindwa kumsaidia mwenzao mpaka ajiue Sasa
Atafungua tu I'd nyingine kwa kweli, I'm sure huko ana hasira anaweza kuvunja hata vituDah yaani atazimiss moments hizi za kuchat na wewe
Alikuwa anatafuta tu namna gani atachat na wewe hapa,basi anajiona mwamba huko aliko[emoji1787]