Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 517
- 1,045
- Thread starter
-
- #121
Walisha wahi kuolewa?Kuna Hawa single 27+ wanajielewa na ni independent women, Ndoa si tatizo kwao. Wamejenga, wana kazi za maana tu na usafiri. Sioni kama kutokuolewa kwao ni stress. Wana heshimika pia... Nadhani inategemeana na aina ya jamii inayokuzunguka.
Tatizo ni wewe unayewashangaa.Kwani bank teller ana tatizo gani mbona me sina tatizo na hao. Mbona bank nyengine bank teller msharahara wake ni zaidi ya 600k
Na huyu anaogopa wadada independent sasa kukataliwa huyo kaja huku kuponda mwanaume design yake ukiwa naye kwenye mahusiano ni wale wanaume wanyanyasaji hafai huyuKwanza itakuwa moyo umemdunda kuona comment yako hapa maana hakutegemea[emoji23]
Yaani atajiona bonge la mtu huko[emoji1787]
Sometimes huwa wanatamani kuongea na watu fulani ila wanashindwa wataanzia wapi
Imepita hiyo haya endelea kumpa maneno yke.Naomba radhi
[emoji3][emoji3][emoji3]No kila kitu kipo sawa toka mwanzo nimeanza kwa kugeneralize wanawake wote then nikaongelea wa kishua alafu nikasema wa familia za kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Siyo tu anaogopa.Na huyu anaogopa wadada independent sasa kukataliwa huyo kaja huku kuponda mwanaume design yake ukiwa naye kwenye mahusiano ni wale wanaume wanyanyasaji hafai huyu
Wengine wana watoto, ila wapo ambao hawana. Unajua tamaduni ya heshima ya ndoa ni sisi ndo tunayo sana, kama mtu amekuwa kwenye mazingira tofauti ndoa si tatizo kubwa. Wala hakutani na lile swali la unaolewa lini?Walisha wahi kuolewa?
Je wana watoto?
Nime washangaa kwa lipiTatizo ni wewe unayewashangaa.
Wapi nimesema Wana tatizo?
Inaonyesha hata kusoma bado hujui vizuri wewe.
Hahaa kweli Hana hela Sasa bank teller naye wakishua jamani, atafte kazi ya kumuweka busy huyuKwanza inaonyesha hana hela huyu dogo maana hapo juu anawashangaa mabank teller.
Ukiona mtu yupo anashangaa watu badala akafanye kazi ujue hakuna kitu.
Tutaponda hasa maana tunaishi kwa jasho letu hatuibi sasa mwanaume asiye na mbele Wala nyuma aje aandike pumba humu JF tumuache kweliNyie pondeni tu ila huo ndo ukweli.
Bidada unapovuu, bado ngapi ufike sate?Na utakapoenda huko unaswe na upigwe mvua ya miaka 30 ukaolewe lupango.
Nyie ndio mnaotuharibia watoto wetu.
Yaani comments zako mwenyewe ulizokuwa unajadiliana na Daby umeshazisahau mara hii na wakati umeziandika mwenyewe muda mfupi tu uliopita!Nime washangaa kwa lipi
Lets stick to the point.
Dating women age 27+ ndo mada yetu
Kama ana mtoto basi hayupo kwenye mada. Maana mtoto anaye na anajiweza huyo ni wakishua tayari.Wengine wana watoto, ila wapo ambao hawana. Unajua tamaduni ya heshima ya ndoa ni sisi ndo tunayo sana, kama mtu amekuwa kwenye mazingira tofauti ndoa si tatizo kubwa. Wala hakutani na lile swali la unaolewa lini?
Bongo bado tuna safari ndefu Sana[emoji1787]Hahaa kweli Hana hela Sasa bank teller naye wakishua jamani, atafte kazi ya kumuweka busy huyu
Watu akili ndogo ndo huhangaika na ndoa aisee siku ukikaa na jamii nyingine Hilo jambo Wala halina mashiko Sasa mleta nada angekutana na watu wa hvo sijui angefanyaje huku watu wamecremisha ndoa na kuzaa Kuna jamii Hilo swala halipo kabisaWengine wana watoto, ila wapo ambao hawana. Unajua tamaduni ya heshima ya ndoa ni sisi ndo tunayo sana, kama mtu amekuwa kwenye mazingira tofauti ndoa si tatizo kubwa. Wala hakutani na lile swali la unaolewa lini?
Subiri mvua ikukute na ukigusa tu unanasa.Bidada unapovuu, bado ngapi ufike sate?
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.
Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.
Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.
Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.
Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.
Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.
Hakuna cha miaka sikuizi form 3 tu mtoto hana bikra ata ya mdomoniWadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.