Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Kwanza itakuwa moyo umemdunda kuona comment yako hapa maana hakutegemea[emoji23]
Yaani atajiona bonge la mtu huko[emoji1787]
Sometimes huwa wanatamani kuongea na watu fulani ila wanashindwa wataanzia wapi
Na huyu anaogopa wadada independent sasa kukataliwa huyo kaja huku kuponda mwanaume design yake ukiwa naye kwenye mahusiano ni wale wanaume wanyanyasaji hafai huyu
 
Siyo tu anaogopa.
Ni kwamba hawezi kuwapata[emoji1787]
 
Nime washangaa kwa lipi
Lets stick to the point.
Dating women age 27+ ndo mada yetu
Yaani comments zako mwenyewe ulizokuwa unajadiliana na Daby umeshazisahau mara hii na wakati umeziandika mwenyewe muda mfupi tu uliopita!

Uliyeandika mabank teller si ni wewe mwenyewe!
Kweli wewe hamnazo
 
Wengine wana watoto, ila wapo ambao hawana. Unajua tamaduni ya heshima ya ndoa ni sisi ndo tunayo sana, kama mtu amekuwa kwenye mazingira tofauti ndoa si tatizo kubwa. Wala hakutani na lile swali la unaolewa lini?
Kama ana mtoto basi hayupo kwenye mada. Maana mtoto anaye na anajiweza huyo ni wakishua tayari.
Life support ya mtoto na yeye anaimudu.
Me naongelea bongo zaidi kwa nchi za wenzetu sina tatizo nao kabisa ndo mifumo yao
 
Wengine wana watoto, ila wapo ambao hawana. Unajua tamaduni ya heshima ya ndoa ni sisi ndo tunayo sana, kama mtu amekuwa kwenye mazingira tofauti ndoa si tatizo kubwa. Wala hakutani na lile swali la unaolewa lini?
Watu akili ndogo ndo huhangaika na ndoa aisee siku ukikaa na jamii nyingine Hilo jambo Wala halina mashiko Sasa mleta nada angekutana na watu wa hvo sijui angefanyaje huku watu wamecremisha ndoa na kuzaa Kuna jamii Hilo swala halipo kabisa
 
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.

Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.

Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.

Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.

Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.

Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.

Ni kweli usitestishe zali kabisaa kama wee ni mgegedaji tuu. Ndio maana mie nimeona sasa ni mwendo wa first yrs wa chuo...yaani namba mpya mpya.😂😂😂😂
 
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.

Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.

Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.

Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.

Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.

Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.
Hakuna cha miaka sikuizi form 3 tu mtoto hana bikra ata ya mdomoni
 
Back
Top Bottom