Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Sijui kwanini sikuhizi nikisoma nyuzi humu naona kabisa nadanganywa na natofautiana nazo.

Kuna mawili labda nyie wenzangu mnazidi kuwa wajinga au mimi ndiye nazidi kuwa mjinga.

Yaani kweli wanawake 27+ ambao hawajaolewa wengi wao wao ni watoto wa kishua???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.

Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.

Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.

Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.

Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.

Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.
Mada kama hizi wengine huwa tunazipita tu maana tumeshakuwa bachelor Sugu mpaka ukikitazama kitanda kinakuwa kama kinakuuliza.
" Bro na leo unalala peke yako ?

Yote maisha tu
 
Yani labda umpige huyo mwanaume nikiwa sipo around!
Nakuzabua vile hujawahi zabuliwa na huyo bogus wako wakiume namnyoosha pia ajifunze kutofanywa lolote na mwanamke.
Tena wewe na kuzibua mwenyewe.
Mwanaume wangu hawezi gombana na vitu vya ajabu [emoji1787][emoji1787]
 
Ukiwa mkweli sharti usiogope mapovu. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya 18+30.
Kama unataka mwanamke wa kuoa ambaye atakuheshimu na kukufurahisha otea kwenye 18-25.
Mungu mwenyewe alimteu mwanamke amzaye Yesu pindi Bikira Maria alipokuwa kwenye 17-19, akiwa bado mbichi kabisa....sasa wewe unaenda kuokota wastaafu wa 30-40 umekuwa nyumba ya kutunza wazee?
[emoji23]mkuu punguza ukali wa maneno..eti wastaafu!
 
Sijui kwanini sikuhizi nikisoma nyuzi humu naona kabisa nadanganywa na natofautiana nazo.

Kuna mawili labda nyie wenzangu mnazidi kuwa wajinga au mimi ndiye nazidi kuwa mjinga.

Yaani kweli wanawake 27+ ambao hawajaolewa wengi wao wao ni watoto wa kishua???
Hili hata mimi limenishangaza sana, ikiwa hivyo Basi Tz Kuna matajiri wengi Sana.
 
Wenye akili kubwa hawawazi ka mleta mada anavowaza wanawaza vitu vikubwa, Yani mwanaume anawaza wanawake kuolewa je wanawake wote wa ukoo wake wameolewa, Hana kazi za kumkeep busy huko aliko
Wewe ndio unajua hilo, hayo mambo makubwa ni yapi?! Nyie ndio mnafanya Tanzania inakuwa nchi masikini kwa kutuongezea idadi ya masingle mother kutokana na akili zenu hizi za kidangaji
 
Kunguza hasira, kumbuka huo ni mtazamo wake, hata nyinyi wanawake mnamitazamo yenu na preferences zenu. Muhimu nilichokiona ni kutuasa wanaume kuwa IF WE ARE DATING SUCH AGED WOMEN, LET US NOT PLAY WITH THEIR FEELINGS.
Hawa ndiyo wanaofanya wanawake waanze kujiona hawafai
Na wanataka kuja kuaminisha watu huku kuwa hao watu hawafai.
Lazima tuwanyooshe
 
Mimi dating pool yangu ipo age-limited to 18 ~ 22 and she must be in college. Hao wanawake wakubwa (past 25 years old) wana emotional buggage plus insecurities after a series of years being pumped and dumped.
Well said boss
 
Basi umekutana na mateller watatu wanne...benki panavyovutia wakakuambia wao wa kishua.

27 sio umri mkubwa kwa wanawake usiwatishe....waache watimize ndoto zao.

Tena jua kabisa leo ukikutana na mwanamke akaonyesha hataki kuolewa ni haujakidhi vigezo vyake. Inamaanisha kwake wewe ni aheri asiolewe.
Acha kuwatia ujinga watoto wa watu..... Ndoto gani hizo.... Mtu anatombwa na wanaume tofauti is that part of ndoto?!
 
Hizi kashfa sasa

Eti wastaafu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama umekwazika kunywa maji mengi upoe. Sexually mwanamke anakuwa kwenye active service akiwa 18-(25) 30 baada ya hapo mwili unaanza kupoa na akifikisha 45 ni muda wa kutundika daruga

Je mwanaume? Life starts at 40.

Cc in ha
 
Back
Top Bottom