Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.

Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.

Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?

Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
umejibu kwa niaba ya wote!asante mama
 
Kumbe huwa unafanya hyo michezo nguvu za kiume zenyewe shida, I'm sorry endelea kufanya na hao vidampa wenzako, sifanyagi huo uchafu, hafu naona bia chafu ulizokunywa bado ziko kichwani uwe una nunua wine zenye hadhi
Achana naye amekunywa kimpumu huyo[emoji1787]
 
Back
Top Bottom