Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kusema kweli kuna kitu nimekiona kutoka kwa hawa warembo, Yaan kams pisiKali inakupenda kwa dhati na hafanyi yale ya kuchepuka alafu wewe dume ukawa huishi kutomuamini yaaan wivu kwa sana mara hivi Mara vile kwa hawa wenzetu huwa wanateseka sana na scenario kama hiyo na usipokuwa makinu unaweza kuvunja moyo wa mwanamke, kutokukupenda tena na kukughairi mazima..
Yaaani ogopa sana mwanamke anayejitunza kwa ajiri yako alafu wewe unaonesha kutokumuamini,, Aseeeh hapa wanawake huwa wanaumia sana. So malengendar wenzangu ukijua kuwa demu wako anakupenda sana na amejiweka kwa ajili yako tu hapa duniani basi muheshimu sana, wanawake hawapendi wivu wa kijinga.
Wanawake mnaweza kuja basi hapa kutoa ushuhuda wenu, Why mnaumia sana kuhusu hili suala.
Uzi tayari..