Wanaume: Tuwe na Huruma

Wanaume: Tuwe na Huruma

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Sawa wewe ndiye mtoa matumizi yote nyumbani. Ndiyo uwe dictator!

Mangapi mama anasaidia nyumbani...kukuzia watoto je? kama umewahi kuachwa na watoto nyumbani utaigundua kazi wanayoifanya hawa wanawake.

Je , emotiona support kwa watoto na kwako kipindi unapokuwa chini! Suala la kuwa mtoa matumizi ya Familia lisiwe kigezo cha wewe kumtumikisha mkeo. Mapenzi ni kujaliana, kupendana na kusaidiana.

Kuna wale wa Kubebewa maji kwenda bafuni. Unakuta mwanamke anabebeshwa ndoo nzima ya lire 20 wengine unakuta anabebeshwa yale mabeseni makubwa kama bath tub basi hadi unamwonea Huruma.

Binafsi naona mwanaume ndiye angetakiwa amsaidie mwanamke kubeba maji. ndoo nzima?

kama umeshindwa kuiwekea Familia yako bomba bafuni basi mbebee mkeo hiyo ndoo. Ni nzito.

Ndiyo maana utakuta binti kaolewa anapendeza ila mpe miezi sita....utamsahau....

Mweka Hazina wa Wanawake. Hili cheo sijiuzulu n'goo.
 
Nitatafuta kwa jasho kama maandiko yalivyosema na ndio majukumu yangu kama mwanaume kama itakuwa tofauti na hapo sina sifa ya kuwa mume

Hayo uliyoandika hapo ni majukumu yao au kuzaa ndio jukumu ?

Hata ng'ombe anazaa

Hata michepuko pia
 
Sawa wewe ndiye mtoa matumizi yote nyumbani. Ndiyo uwe dictator!

Mangapi mama anasaidia nyumbani...kukuzia watoto je? kama umewahi kuachwa na watoto nyumbani utaigundua kazi wanayoifanya hawa wanawake.

Je , emotiona support kwa watoto na kwako kipindi unapokuwa chini! Suala la kuwa mtoa matumizi ya Familia lisiwe kigezo cha wewe kumtumikisha mkeo. Mapenzi ni kujaliana, kupendana na kusaidiana.

Kuna wale wa Kubebewa maji kwenda bafuni. Unakuta mwanamke anabebeshwa ndoo nzima ya lire 20 wengine unakuta anabebeshwa yale mabeseni makubwa kama bath tub basi hadi unamwonea Huruma.

Binafsi naona mwanaume ndiye angetakiwa amsaidie mwanamke kubeba maji. ndoo nzima?

kama umeshindwa kuiwekea Familia yako bomba bafuni basi mbebee mkeo hiyo ndoo. Ni nzito.

Ndiyo maana utakuta binti kaolewa anapendeza ila mpe miezi sita....utamsahau....

Mweka Hazina wa Wanawake. Hili cheo sijiuzulu n'goo.
Nakubaliana na weye kwa kiasi fulani.Lakini kuhusu udikteta siwezi kuacha.Ukimuonesha mke wako kwamba umelainika tu atakufurahisha huku unalia kwa kwikwi.Ukiwa baba ni lazima kutimiza wajibu na majukumu ya baba.Onesha upendo,ijali familia.Ila usithubutu kuuachia utawala wako ukakaimiwa hata kwa sekunde moja na mke au yeyote.
 
Wazazi wetu waliyafanya yote hayo na hawakuwa na wasaidizi wa kazi lakini walitimiza majukumu yao.

Nakubali maisha yanabadilika lakini sio kuwa na mwanaume unaemtabiri.kila mtu akae kwenye nafasi yake ipasavyo.ikitokea anakusaidia baadhI ya majukumu basi ni kupenda kwake sio kulazimishana.

Mwanaume,mwanamke asikutabiri.

NB:hakuna 50/50 Kati ya mwanaume na mwanamke(hii ni Kwa wanaume na wanawake wanaoelewa nini ninamaanisha)kila mtu akae kwenye nafasi yake.

💃💃
 
Kumbe kuna wanawake wanafaa kuolewa hapa jf.
 
Yani huu mwandiko wako wa leo hauna marinjirinji kabisa 😁😁😁au Kwa sababu hakujapambazuka vizuri😝😝
Kuna tofauti nimeona hii wiki, yaani wanawake wamekuwa na point nzuri mara wanaume tuwapee tuu, mara wanaume tuwaheshimu, hamna 50/50, basi raha tupu. Wanawake mmeanza kuona ni vyema mkaolewa na kuwalea watoto na waume zenu
 
Sawa wewe ndiye mtoa matumizi yote nyumbani. Ndiyo uwe dictator!

Mangapi mama anasaidia nyumbani...kukuzia watoto je? kama umewahi kuachwa na watoto nyumbani utaigundua kazi wanayoifanya hawa wanawake.

Je , emotiona support kwa watoto na kwako kipindi unapokuwa chini! Suala la kuwa mtoa matumizi ya Familia lisiwe kigezo cha wewe kumtumikisha mkeo. Mapenzi ni kujaliana, kupendana na kusaidiana.

Kuna wale wa Kubebewa maji kwenda bafuni. Unakuta mwanamke anabebeshwa ndoo nzima ya lire 20 wengine unakuta anabebeshwa yale mabeseni makubwa kama bath tub basi hadi unamwonea Huruma.

Binafsi naona mwanaume ndiye angetakiwa amsaidie mwanamke kubeba maji. ndoo nzima?

kama umeshindwa kuiwekea Familia yako bomba bafuni basi mbebee mkeo hiyo ndoo. Ni nzito.

Ndiyo maana utakuta binti kaolewa anapendeza ila mpe miezi sita....utamsahau....

Mweka Hazina wa Wanawake. Hili cheo sijiuzulu n'goo.
Kama ujaoa naomba umuoe dada angu tafadhali
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom