Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Sawa wewe ndiye mtoa matumizi yote nyumbani. Ndiyo uwe dictator!
Mangapi mama anasaidia nyumbani...kukuzia watoto je? kama umewahi kuachwa na watoto nyumbani utaigundua kazi wanayoifanya hawa wanawake.
Je , emotiona support kwa watoto na kwako kipindi unapokuwa chini! Suala la kuwa mtoa matumizi ya Familia lisiwe kigezo cha wewe kumtumikisha mkeo. Mapenzi ni kujaliana, kupendana na kusaidiana.
Kuna wale wa Kubebewa maji kwenda bafuni. Unakuta mwanamke anabebeshwa ndoo nzima ya lire 20 wengine unakuta anabebeshwa yale mabeseni makubwa kama bath tub basi hadi unamwonea Huruma.
Binafsi naona mwanaume ndiye angetakiwa amsaidie mwanamke kubeba maji. ndoo nzima?
kama umeshindwa kuiwekea Familia yako bomba bafuni basi mbebee mkeo hiyo ndoo. Ni nzito.
Ndiyo maana utakuta binti kaolewa anapendeza ila mpe miezi sita....utamsahau....
Mweka Hazina wa Wanawake. Hili cheo sijiuzulu n'goo.