Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.
2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe
unataka ameze???
sijakusoma hapo mkuu, nini kazi ya sink????
...9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu......
Hivi kuna watu wenye hizo dhana potofu?
wengine wakila nyama wana Floss lakini pia siyo lazima uwe na Tongue Scraper lakini angala kwa kiwango cha chini uwe unafanya usafi wa kinywa chako. Sasa fikiria mtu siku mbili haapigi mswaki.
Aisee hiii huwa inanikera, halafu ukizingatia ni ngumu kweli kumwambia mdomo wake unatoa harufu mbaya!
Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.
1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo
2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe
3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.
4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu
5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro
6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.
7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!
8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.
9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.
Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.
Baada ya kubeba zege au lumbesa oga basi!!ukiwa msafi sana utakuwa unakaribisha ushoga, uanaume kuchafuka bwana, saa zote msafi hata semi lakutoka mbeya likiingia kushusha mzigo tandale wenzako wanachukua wee unan'gaa macho kuogopa kutoka jasho, binafsi sina muda wa kupoteza, usafi siku ya kumbukumbu yangu ya kuzaliwa tu, baasi.
ukumbuke na kuyasuka mabutu km si kunyoa...!!!!!!!!!
mtu apig mswak wik mpk meno yananenenpa na mwishowe anashindwa kuongea..ahh stak mie
Fikiria mtu anakunya mapombe ya kienyeji yale (mtama, mnazi,komoni etc) halafu anavuta sigara halafu mswaki hapigi.....!wengine wakila nyama wana Floss lakini pia siyo lazima uwe na Tongue Scraper lakini angala kwa kiwango cha chini uwe unafanya usafi wa kinywa chako. Sasa fikiria mtu siku mbili haapigi mswaki.
Na hilo zigo ulonalo huko nyuma kwa nini nsikudake?
Hapa napiga picha siku nikiwekwa mtu kati.....pale mbele awepo Mwanne Othman....kwa pembeni kushoto awepo Fatma Mcharuko....kulia Baby J.....halafu nyuma Rose1980....
Mweh...that would be heaven on earth!
Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.
1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo
2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe
3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.
4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu
5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro
6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.
7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!
8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.
9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.
Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.
meno kunenepa tena!!!!!!!
mhhhhhhhhhhh rose !!!!
hata kuyawekea pico
wewe na Bill Gates nani ana pesa.kama uchafu ingekuwa ni chanzo cha kupata pesa basi yule Omba Omba Matonya angekuwa Bilionea.
We vipi? watu wako busy na Life,wewe anza usafi huo,kapige mkorogo kama madem tujue moja !
Mwanaume kunuka soksi siyo issue kivile mambo ya kawaida.
Tafuta pesa mkubwa achana na mambo ya kujipodoa podoa,hizo time hatuna sisi !,Hivi maisha haya chini ya uongozi wa sasa CCM unaweza kupata muda wa kuwa msafi kiivyo utakula nini,kwa raha ipi,subiri kwanza tuachafuke saaana na muda ukifika tutastarehe.
acha sababu babu..KAOGEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!