Wanaume tuwe wasafi jamani!

Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.

2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe


Mkuu kwenye hateli masink huwa yako WC, huko ndo haswaaa kunako fanyika usafi huo unaoutaka.
 

aminia mwanangu, nasikia kuna mpaka manukato sijui perfume, kuna baadhi ya wanaume wanajipuliza kabisa, aaaaaagh! Mwanaume hasifiwi usafi, anasifiwa kazi nyie,
 
mimi mmojawapo mkuu, muda wote nipo kikazi zaidi, sina muda na usafi. hata jeshini mda wote wapo standby kwa vita.



NDO KUSEMA JESHINI HAWAOGI?
AWAOGI?

duhh..stak mie jaman...jesh lip sweetie mchafu koga?
 
Hama huko umasaini uje mjini bwana tukufungue macho na mambo kimjini mjini. Niliposoma nikadhani labda ni mwanume ndiye aliyeandika hii kitu. Kwa nini tu usibadili huyo mshikaji wako utafute anayejua kutumia mapoudaaaaaaaaaaaaa!

Ila hiyo kitu inaboa sana. Heri ya soksi kutoboka kwani akivaa viatu huwezi kuona. Kuna ambazo zinatema hata bila kuvua viatu. Na hiyo ya midomo kunuka, kwa kweli kama ndiyo mumeo au mpenzi wako, itabidi tu uzoee.
 
Duh jamaa kaamua kutuanika hapa. Ngoja nikanunue sox mpya aise maana ya kwangu imetoboka kidole gumba
Halafu boxer nazo zina wiki hazijafuliwa
 
haya bwana...........wakusifu sana lakini na wewe ujue uko kwenye house arrest
 
Dawa ya kikwapa hiii hapa

chukua ukoko wa ugali, uloweke, uweke kwapani kwa mda kama dakika kumi hivi then toa. Harufu inaisha. Dawa nyingine kunywa maji kwa wingi ili jasho liwe diluted!
 
Duh jamaa kaamua kutuanika hapa. Ngoja nikanunue sox mpya aise maana ya kwangu imetoboka kidole gumba
Halafu boxer nazo zina wiki hazijafuliwa
Du! polepole basi nawe.huyu Rose1980 akikusikia tu, kesho utajikuta kwenye gazeti la nipashe
 

mume si uuume bali ni kiume!!!!!!
 
Mkuu kwenye hateli masink huwa yako WC.
siyo kila Hoteli ina masink WC kwa taarifa yako mimi nwenyewe nilishuhudia jamaa Pale mnazi mmoja akisukutua na kutema mate wakati wengine tukila chakula.
 
Kwani ni wanaume tu peke yao! mbona na nyie hamfui chupi zenu mpaka zinatoa harufu mbaya kama yai viza
- unakuta msichana kavaa wigi linanuka ile mbaya halafu anakaa katikati ya watu
- upo kwenye siku zako kwa nini usitumie vizuri basi hizo pedi zako? kwani ni lazima mpaka tuzisikie harufu?
 
kweli bwana!!
 
wewe rose1980?????...umetumwa nini? haki, please kamwambie huwapo. Jesus Christ, ukizidi tutaissue warrant of arrest kwako na mto mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…