Dahhh.....
Sinto sahau nilipo enda kuchepuka, then umeme ukakatika, na kwakua nilitakiwa nirudi home basi nilipo maliza game, nikavaa poa Na kisha nikachukua kitambaa changu (leso) nikatia mfukoni nikasepa home.
Sasa Ile nafika home umeme umerudi, na nikamkuta wife, basi akanikaribisha poa kabisaaaa... Nami kwa mbwembwe nikaanza kuvua nguo ili nikaoge, mara paapp.... Kumbe nilikua nimegeuza boxer wife akamid lakini sio kivile, sababu nikomaa kwamba nikiondoka home nimwivaa hivyo hivyo..... Basi akanielewa
Basi nikaanza kutoa makolokocho mfukoni, khaaaaa.... Sijaibuka na bikini...... Yaani sitaki kukumbuka na naomba nisielezee kilicho tokea.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]