Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapenda sana mtu anaye jali, kitu kidogo lakini kwao kinaweza kuwa kikubwa sana.hivyo kuna mtu kasahau tarehe yako ya kuzaliwa
Kwahiyo umeamua kuja kuniandikia Uzi kabisaaaa, kawasababu nimesahau kukutumia muamala.... tehteehhh [emoji13] [emoji13]Pamoja na kuwa mmeumbwa kusahau, lakini wakati mwingine jitahidini kukumbuka.
Ni vitu vidogo sana ila vinatuumiza sana.
Hapa ni kwa ujumla, sio lazima uwe kwenye mahusiano, hata kaka, baba, mjomba nk.
Mtu kasahau birthday nn?!
Nimesahau kumtumia hela.... tehteehhhhivyo kuna mtu kasahau tarehe yako ya kuzaliwa
Ebu amka ujielekeze huku kibla guest house...[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Uliniumiza sana, nilikuwa nishapanga vyangu...nikaishia kulala tu.
Na sijakusamehe bado...
sawaMjitahidi sana, inaumiza....