Ukishamjua mtu wako basi hupati shida. Unajiadjust kama ambavyo yeye anaweka..ukilazimisha mambo ndo kama hivyo lazima usononeke. Nisononeke for what?Eeehhh, unayaweza basi...
Yaani nikishakuweka kwa Moyo ujue hakuna kidogo wala kikubwa....maumivu yake yanafanana.
Nitasononeka tu, ajifunze kunijalia...nikimzoesha anaweza kuzidisha....ikawa mbaya zaidiUkishamjua mtu wako basi hupati shida. Unajiadjust kama ambavyo yeye anaweka..ukilazimisha mambo ndo kama hivyo lazima usononeke. Nisononeke for what?
Sawa..labda kama mpo kwenye stage ya kufundishana. Ila kama mmeishi zaidi ya 10yrs hapo sijui unamfundisha nini. Mengine anafanya kusudi tu hata ulie ugalegale chini yupo vile vile habadiliki.Nitasononeka tu, ajifunze kunijalia...nikimzoesha anaweza kuzidisha....ikawa mbaya zaidi
Usiombee ukasahau Birthday....wanajua kinachotokea kesho yake...
Jamaniii eeehh kumbe ndio inavyokuwaga?Sawa..labda kama mpo kwenye stage ya kufundishana. Ila kama mmeishi zaidi ya 10yrs hapo sijui unamfundisha nini. Mengine anafanya kusudi tu hata ulie ugalegale chini yupo vile vile habadiliki.
Vibaya hivyo...nitaenda kwa ambaye anajua majukumu yake ujue??
Ha haaa ila wengine wanafundishika. Usikate tamaa..samaki mkunje angali mbichiJamaniii eeehh kumbe ndio inavyokuwaga?
Mungu msaidie Mteule wangu asije kubadilika.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ulisahau au ulichanganywa na giza? Michepuko sio dili baki njia kuu!Dahhh.....
Sinto sahau nilipo enda kuchepuka, then umeme ukakatika, na kwakua nilitakiwa nirudi home basi nilipo maliza game, nikavaa poa Na kisha nikachukua kitambaa changu (leso) nikatia mfukoni nikasepa home.
Sasa Ile nafika home umeme umerudi, na nikamkuta wife, basi akanikaribisha poa kabisaaaa... Nami kwa mbwembwe nikaanza kuvua nguo ili nikaoge, mara paapp.... Kumbe nilikua nimegeuza boxer wife akamid lakini sio kivile, sababu nikomaa kwamba nikiondoka home nimwivaa hivyo hivyo..... Basi akanielewa
Basi nikaanza kutoa makolokocho mfukoni, khaaaaa.... Sijaibuka na bikini...... Yaani sitaki kukumbuka na naomba nisielezee kilicho tokea.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pole dear, amesahau nini tena jamani?Tunasema, ila mtusubiri hasira ziishe....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu kasahau birthday nn?!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dahhh.....
Sinto sahau nilipo enda kuchepuka, then umeme ukakatika, na kwakua nilitakiwa nirudi home basi nilipo maliza game, nikavaa poa Na kisha nikachukua kitambaa changu (leso) nikatia mfukoni nikasepa home.
Sasa Ile nafika home umeme umerudi, na nikamkuta wife, basi akanikaribisha poa kabisaaaa... Nami kwa mbwembwe nikaanza kuvua nguo ili nikaoge, mara paapp.... Kumbe nilikua nimegeuza boxer wife akamid lakini sio kivile, sababu nikomaa kwamba nikiondoka home nimwivaa hivyo hivyo..... Basi akanielewa
Basi nikaanza kutoa makolokocho mfukoni, khaaaaa.... Sijaibuka na bikini...... Yaani sitaki kukumbuka na naomba nisielezee kilicho tokea.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kweli mkuu..... ingawa nilipata tam yako, ila nilisikitika sana kuona namfedhehesha wife.....[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ulisahau au ulichanganywa na giza? Michepuko sio dili baki njia kuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa kazi mfano nifanyayo mimi, kusahau ni jambo la kawaida sana, unaweza rudi nyumbani, ktk harakati za kumwita mkeo unaweza kuishia kumwita tuu mama nanihii, alafu akawa anakutolea macho asijibu kitu, nanilii nani? kumbe mwamba ushahau hata mkeo au mwanao anaitwa nani..hili rhumba kali