Wanaume!!! Usahaulifu wenu unatuumiza....

Eeehhh, unayaweza basi...
Yaani nikishakuweka kwa Moyo ujue hakuna kidogo wala kikubwa....maumivu yake yanafanana.
Ukishamjua mtu wako basi hupati shida. Unajiadjust kama ambavyo yeye anaweka..ukilazimisha mambo ndo kama hivyo lazima usononeke. Nisononeke for what?
 
Nitasononeka tu, ajifunze kunijalia...nikimzoesha anaweza kuzidisha....ikawa mbaya zaidi
 
Sawa..labda kama mpo kwenye stage ya kufundishana. Ila kama mmeishi zaidi ya 10yrs hapo sijui unamfundisha nini. Mengine anafanya kusudi tu hata ulie ugalegale chini yupo vile vile habadiliki.
 
Jamaniii eeehh kumbe ndio inavyokuwaga?
Mungu msaidie Mteule wangu asije kubadilika.
 
Dahhh.....
Sinto sahau nilipo enda kuchepuka, then umeme ukakatika, na kwakua nilitakiwa nirudi home basi nilipo maliza game, nikavaa poa Na kisha nikachukua kitambaa changu (leso) nikatia mfukoni nikasepa home.
Sasa Ile nafika home umeme umerudi, na nikamkuta wife, basi akanikaribisha poa kabisaaaa... Nami kwa mbwembwe nikaanza kuvua nguo ili nikaoge, mara paapp.... Kumbe nilikua nimegeuza boxer wife akamid lakini sio kivile, sababu nikomaa kwamba nikiondoka home nimwivaa hivyo hivyo..... Basi akanielewa
Basi nikaanza kutoa makolokocho mfukoni, khaaaaa.... Sijaibuka na bikini...... Yaani sitaki kukumbuka na naomba nisielezee kilicho tokea.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ulisahau au ulichanganywa na giza? Michepuko sio dili baki njia kuu!
 
Dahhh.....
Sinto sahau nilipo enda kuchepuka, then umeme ukakatika, na kwakua nilitakiwa nirudi home basi nilipo maliza game, nikavaa poa Na kisha nikachukua kitambaa changu (leso) nikatia mfukoni nikasepa home.
Sasa Ile nafika home umeme umerudi, na nikamkuta wife, basi akanikaribisha poa kabisaaaa... Nami kwa mbwembwe nikaanza kuvua nguo ili nikaoge, mara paapp.... Kumbe nilikua nimegeuza boxer wife akamid lakini sio kivile, sababu nikomaa kwamba nikiondoka home nimwivaa hivyo hivyo..... Basi akanielewa
Basi nikaanza kutoa makolokocho mfukoni, khaaaaa.... Sijaibuka na bikini...... Yaani sitaki kukumbuka na naomba nisielezee kilicho tokea.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
kwa kazi mfano nifanyayo mimi, kusahau ni jambo la kawaida sana, unaweza rudi nyumbani, ktk harakati za kumwita mkeo unaweza kuishia kumwita tuu mama nanihii, alafu akawa anakutolea macho asijibu kitu, nanilii nani? kumbe mwamba ushahau hata mkeo au mwanao anaitwa nani..hili rhumba kali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom