Wanaume!!! Usahaulifu wenu unatuumiza....

Wanaume!!! Usahaulifu wenu unatuumiza....

kwa kazi mfano nifanyayo mimi, kusahau ni jambo la kawaida sana, unaweza rudi nyumbani, ktk harakati za kumwita mkeo unaweza kuishia kumwita tuu mama nanihii, alafu akawa anakutolea macho asijibu kitu, nanilii nani? kumbe mwamba ushahau hata mkeo au mwanao anaitwa nani..hili rhumba kali
 
Pamoja na kuwa mmeumbwa kusahau, lakini wakati mwingine jitahidini kukumbuka.
Ni vitu vidogo sana ila vinatuumiza sana.

Hapa ni kwa ujumla, sio lazima uwe kwenye mahusiano, hata kaka, baba, mjomba nk.
Tupo bize kutafuta pesa na kupambana na hali ngumu ya maisha hebu jaribuni kutuelewa. Tukisahau Vitu vidogo kama besidei zenu msitufikirie vibaya.
 
Pamoja na kuwa mmeumbwa kusahau, lakini wakati mwingine jitahidini kukumbuka.
Ni vitu vidogo sana ila vinatuumiza sana.

Hapa ni kwa ujumla, sio lazima uwe kwenye mahusiano, hata kaka, baba, mjomba nk.
Tunasahau sababu ya kua member wa CHAPUTA
 
Tupo bize kutafuta pesa na kupambana na hali ngumu ya maisha hebu jaribuni kutuelewa. Tukisahau Vitu vidogo kama besidei zenu msitufikirie vibaya.

Tunawavumilia sana, tunashukuru mnatuletea Pesa nyumbani, ila usisahau uliponiacha asubuhi nilikuambia naumwa kichwa....hivyo kunijulia hali katikati ya siku sio mbaya....
wengine mpaka akirudi nyumbani ndio unaulizwa eehh kichwa kinaendeleaje?
 
Dahhh.....
Sinto sahau nilipo enda kuchepuka, then umeme ukakatika, na kwakua nilitakiwa nirudi home basi nilipo maliza game, nikavaa poa Na kisha nikachukua kitambaa changu (leso) nikatia mfukoni nikasepa home.
Sasa Ile nafika home umeme umerudi, na nikamkuta wife, basi akanikaribisha poa kabisaaaa... Nami kwa mbwembwe nikaanza kuvua nguo ili nikaoge, mara paapp.... Kumbe nilikua nimegeuza boxer wife akamid lakini sio kivile, sababu nikomaa kwamba nikiondoka home nimwivaa hivyo hivyo..... Basi akanielewa
Basi nikaanza kutoa makolokocho mfukoni, khaaaaa.... Sijaibuka na bikini...... Yaani sitaki kukumbuka na naomba nisielezee kilicho tokea.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hizi story za kutunga hizi
 
Pamoja na kuwa mmeumbwa kusahau, lakini wakati mwingine jitahidini kukumbuka.
Ni vitu vidogo sana ila vinatuumiza sana.

Hapa ni kwa ujumla, sio lazima uwe kwenye mahusiano, hata kaka, baba, mjomba nk.
Sifa ya Mwanaume kujisahaulisha..

mfano nipo Mjini eti unaniambia pitia nyama weka minofu tu.

nikifika hata nikiona kakata mifupa sisemi weka minofu.
 
Unakosea Daby, kwanini sasa ujisahaulishe, halafu ununiwe na chakula usile kwa raha?
Yaani wakati unaninunia najisemea huyu mwanamke kweli ananinunia jambo dogo hivi Mungu amsamehee tu.

miezi michache imepita nilinuniwa kisa nimesahau tarehe ya likizo....Vingine unafikiri tunajitakia kusahau sasa...
 
Back
Top Bottom