Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako.
Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila hata kumtambulisha kwa ndugu na marafiki kama huyu ni girlfriend wangu, unaona aibu, hata kuongozana nae njiani unamwambia atangulie mbele. Hata ukimpa ujauzito kwa bahati mbaya unamwambia autoe, akikataa unamkimbia.
Hii ishu ishawakuta