Tripper
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 778
- 1,522
Demu hakuwa mbaya sana, nlimpitiaga siku 1 nlikuwa nmezidiwa. Sasa demu alikuwa anajulikana kuwa anajiuza afu laini zote mbili, sasa mi sina habari kumbe ananitangaza mtaani kuwa nlishamtolea posa nyumbani kwao na tutafunga ndoa muda wowote daah. Mtaa mzima ukajua siku 1 dogo ndo ananisanua nkabaki nashangaa tu ukizingatia huo mtaa sina washikaji kwahyo hamna wa kukuuliza ila ukipita wanacheka tu.