😂Another neck supporting empty head✊
Umemfanyia CT SCAN au?
YeahUmemfanyia CT SCAN au?
Hiyo picture inasema anashida gani? 😄Yeah
Hakuna mwanaume mwenye mwanamke wa type yake bali mwanamke ndiye ana mwanaume wa type yake. Ukiona mwanaume umeanza kua na mwanamke wa type yako jua muda siyo mrefu utakua na wewe wa kikeHabarini,
Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako.
Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila hata kumtambulisha kwa ndugu na marafiki kama huyu ni girlfriend wangu, unaona aibu, hata kuongozana nae njiani unamwambia atangulie mbele. Hata ukimpa ujauzito kwa bahati mbaya unamwambia autoe, akikataa unamkimbia.
Hii ishu ishawakuta
Mambo mbaya sana hoi hali utokea wakati kichwa cha chini kinakipelekesha kichwa cha juu😂😂😂Habarini,