Wanaume ushawahi kuwa na girlfriend ambaye unaona aibu hata kumtambulisha mbele za watu

Demu hakuwa mbaya sana, nlimpitiaga siku 1 nlikuwa nmezidiwa. Sasa demu alikuwa anajulikana kuwa anajiuza afu laini zote mbili, sasa mi sina habari kumbe ananitangaza mtaani kuwa nlishamtolea posa nyumbani kwao na tutafunga ndoa muda wowote daah. Mtaa mzima ukajua siku 1 dogo ndo ananisanua nkabaki nashangaa tu ukizingatia huo mtaa sina washikaji kwahyo hamna wa kukuuliza ila ukipita wanacheka tu.
 
Watakuponda sana lakini tupo wengi tu humu wanajifanya wajuaji na wastaarabu.
ukweli mimi niliwahi pita na mhudumu wa hoteli

lengo ni ktoa upwiru lkn nilicho kutana nacho yule mtoto kabarikiwa joto,chchu saa6 na inabana. ilibidi niweke kituo kabisa. nikawa natuma nauli anakuja lakn akija ni room moja kwa moja akitoka stend anasepa ndo natoka namimi.

acha tu wakuponde
 
Sasa kama ni wa kutolea kutu tu unamganda wa nini? Umeshatoa kutu yako wewe tambaa ukizidiwa tena tafuta mwingine au domo zege wewe?
 
Hapana ila nikiona ana wenge huwa simtambulishi kwa rafiki wala ndugu yoyote ili tukiachana ndugu na marafiki wasiniulize demu wako yuko wapi
 
😁😁😁😁
We acha tu, baada ya kuthibitisha kuwa sio mjamzito nilimpiga marufuku kabisaa. Till nowdays nauchukia upwiru na nnajuta kuunganisha kikojoleo changu na chake
 
Wanaokuponda ni ke wengi Me mwenye akili timamu siwezi kukuponda kabisa!

Huwa inatokea sana tu,Bali unajikaza kisabuni tu!

Ni pale unapojaribu tu mistari ikatick halafu akaja Hadi geto then uakapiga baada ya hapo unaona noma kwanini umekula hiyo manzi!!?
 
Kweli duniani kuna watu. Watu wengine wanaishi maisha ya ajabu. Huku ni kukosa akili kulikopotiliza.
 
Upwiru usikieni tu
Kuna siku nimechukua ngoma moja baada ya kilaji kukolea nikapunguze upwiru bwana wee ile kuamka asubuhi kucheki vzr dah ngoma ni kama mara4 hiv ya umri wangu. Safari ya mikoani ya uongo na kweli ikaja hapohapo maana bibi alitaka kuganda ngwea anajitia kutoa nguo afue we nikamwambia mama nawahi gari saahz. Nyie upwiru uacheni hivyohivyo.

Ikaja kutokea tena kwa demu mwingine huyu tumekutana mjini lkn wote tunatoka mkoani (tunafahamiana) dah kidada mapepe balaa hlf kina sura mbovu ila we kitamu kinoma ngoma kukitambulisha kwa wana sasa.....
To be continued...
 
Kwa nini uwe na mtu usieweza kumtambulisha kwa ndugu na marafiki? Ndio mana mahusiano yanasumbua sana kipindi hiki.
Ni ajabu. Si bora nitafute kahaba nijue na-hit na kuondoka? Yaani unafikia stage mpaka ya kumwita ni girl friend halafu unaogopa kuongozana naye.
 
Hii unayoelezea nadhani ni tofauti na mwazisha mada. Hii ya kuchukuwa baada ya kulewa si kama mtu anayechukuwa malaya na kunakuwa hakuna uhusiano wa kudumu.
 
Itakuwa huyu demu ni mbovu sana sio kwa makasiriko haya 🀣
 
Hahaha Extrovert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…