Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,738
Reaction score
3,199
Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and broke.

Unapaswa utumie nguvu hizo kutafuta Hela,fungua Biashara, Miradi mingi,hao wadada watakuja wenyewe,watatafuta mpaka namba yako, wenyewe watakutongoza. Unatumia Hela Hovyo kuonyesha unajimudu kuhudumia mahitaji ya wadada,unawapeleka kwenye mastarehe ambayo hata ukiwa peke yako huendi! Huo ni ujinga.

Jiulize Simba dume anajua thamani yake,analinda tu eneo lake,Kila kitu anapata. Tafuta kuwa na territory,epuka huo utumwa wa kutuma nauli,Hela za kutolea,kusuka,kuhonga 10,000! Be a real men.stay focused.
 
Ukiwa na pesa warembo watakuomba wao namba.
FB_IMG_1713951274792.jpg
 
Back
Top Bottom