Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Hello guys,

There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lakini shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa wakati wewe the man of the match huambulii hata busu

Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na wewe, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lakini yupo na wewe kwa kuwa una pesa au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.

Source: uzoefu wangu
 
Hata hao walioshikamana na dini ni wanafiq tu,akikwambia hivyo eti mpaka uniowe muulize bikra anayo?Kama kweli alikuwa ameshikamana na Mungu wake then hiyo bikra aliipeleka wapi!

Wa hivi wanakuwaga na vibwana vyao uchwara vinavyowagonga ila wewe ukiingia na gear ya kuowa wanajifanya kukubania ili usimuone malaya sana,dawa na wewe ingia kihuni huni wazo la kuowa lifanye la baadae.
 
Hello guys,

There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lkn shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest. Utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa hadi tigo..wakati wewe the man of the match huambulii hata busu

Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na ww, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lkn yupo na wewe kwa kuwa una pesa..au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.

Source: uzoefu wangu
Truth 100%
 
Hizi ni kauli za vijana wa kileo, ila mkitaka kujua mje kwa wahenga tuwape uzoefu.
 
Walioshikamana na Dini angalau, ila wengine ni chenga tu..
Mkuu unakuwaga na point sana.
Sio watu wanajumuisha tu hapa.

Ikiwa mwanamke kanipa mimi papuchi na sijamuoa basi ntajiuliza kwamba vipi ashindwe kumpa na mwingine kama mie alinipa?

Hapo ndo naona kipimo cha mwanamke muaminifu ni akunyime papuchi ana awe na kadini hivi,sio mtu wa disko alafu anakunyima shoo huyo mwizi tu.
 
Ni kweli unachosema. Kuna mmoja nilimla mara ya kwanza. Mara ya pili akasema mchungaji kasema hadi ndoa, nikamwambia mpelekee hiyo K. Na mawasiliano nikakata..
Kumbe alikuwa an bwana anamsugua mm nikiwa mbali kikazi
Alafu utakuta madada wa ivyo bikra imetolewa zamani..basi tu kutesana..ukiona una mdada wa ivyo na hana bikra hakuna mapenzi hapo
 
Hello guys,

There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lkn shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest. Utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa hadi tigo..wakati wewe the man of the match huambulii hata busu

Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na ww, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lkn yupo na wewe kwa kuwa una pesa..au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.

Source: uzoefu wangu
Hunipi pachuchi nikikuoa nikikuta una tobo unalipa hela yangu
 
Back
Top Bottom