Hello guys,
There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lkn shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest. Utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa hadi tigo..wakati wewe the man of the match huambulii hata busu
Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na ww, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lkn yupo na wewe kwa kuwa una pesa..au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.
Source: uzoefu wangu