Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
You are extremely rightHello guys,
There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lkn shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest. Utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa hadi tigo..wakati wewe the man of the match huambulii hata busu
Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na ww, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lkn yupo na wewe kwa kuwa una pesa..au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.
Source: uzoefu wangu
Sawa mkuuOouh...asante kwa ushauri.
Ujue ushauri wako unaenda kufanyiwa kazi.
Na ndio ujinga wenyewe tunaoufanyaNi kweli kabisa na unakuta hana mapenzi ila anatega mingo kwa kujua kuna kitu anapata
umesema vyema mkuu!Hello guys,
There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lkn shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest. Utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa hadi tigo..wakati wewe the man of the match huambulii hata busu
Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na ww, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lkn yupo na wewe kwa kuwa una pesa..au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.
Source: uzoefu wangu
😂😂Hufanyi mapenzi hadi ndoa means bikra ipo,,, haipo basi achana nae Fanya mambo mengine!
Huyo nae alizingua..kabla ya kukupa hakujua kama kuna mchungaji na ndoa?Ni kweli unachosema. Kuna mmoja nilimla mara ya kwanza. Mara ya pili akasema mchungaji kasema hadi ndoa, nikamwambia mpelekee hiyo K. Na mawasiliano nikakata..
Kumbe alikuwa an bwana anamsugua mm nikiwa mbali kikazi
duuh jamaniAta me najua mpuuzi
Haswaaa . Niliusoma mchezo nikajiongeza mapemaaa.Huyo nae alizingua..kabla ya kukupa hakujua kama kuna mchungaji na ndoa?
Na ndio Mara nyingi inakuwaga ivyo ukiona unanyimwa k ujue kuna mwenzio anapewa bila kuomba
Profile yako mbona inaonesha huna uhenga wowote mkuu. Njoo inbox nikupe madiniHizi ni kauli za vijana wa kileo, ila mkitaka kujua mje kwa wahenga tuwape uzoefu.
Pia huu mtindo wa kutafunana kabla ya ndoa umeshika kasi sana na umekuwa kama jambo ambalo limehalalishwa, ndio maana ukiona mawazo ya walio wengi wanaunga mkono kwa asilimia zote.Mkuu unakuwaga na point sana.
Sio watu wanajumuisha tu hapa.
Ikiwa mwanamke kanipa mimi papuchi na sijamuoa basi ntajiuliza kwamba vipi ashindwe kumpa na mwingine kama mie alinipa?
Hapo ndo naona kipimo cha mwanamke muaminifu ni akunyime papuchi ana awe na kadini hivi,sio mtu wa disko alafu anakunyima shoo huyo mwizi tu.
Haswaaa . Niliusoma mchezo nikajiongeza mapemaaa.
Akaja kurudi kwa kasi kujifanya ananijali, mara kanipiga bomu la laki tatu. Nikwambia hata mm nina ndugu wanaonitegemea.. sina muda huo.
Mpaka leo hajadhubut kunisumbua tena.
Naunga mkono mtazamo wakoPia huu mtindo wa kutafunana kabla ya ndoa umeshika kasi sana na umekuwa kama jambo ambalo limehalalishwa, ndio maana ukiona mawazo ya walio wengi wanaunga mkono kwa asilimia zote.
Naunga mkono hoja,sijawahi kumuona demu mwenye msimamo huo hadi mwisho,mwanzo atasema hivyo kadri siku zinavyoenda mwenyewe atatoa mzigo.Hello guys,
There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lkn shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest. Utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa hadi tigo..wakati wewe the man of the match huambulii hata busu
Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na ww, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lkn yupo na wewe kwa kuwa una pesa..au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.
Source: uzoefu wangu
Ahsante kwa kuunga mkono juhudi, cheo chako tutakurudishia muda si mrefuNaunga mkono mtazamo wako
Niangalie tena mkuu. Nina 40+ kwenye hiyo gameProfile yako mbona inaonesha huna uhenga wowote mkuu. Njoo inbox nikupe madini
Kweli ilipata kunitokea. Nilimtoa mtu, tukala tukashiba halafu nikamrudisha kwake. Hakunipenda tena. Alinibadilikia.Kwa Bahati mbaya siku hizi hawapo.
Ukitongoza.....anapanga mtoko......ukienda usipokula ananuna