Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Sawa unalosema
 
Naomba kuhuliza kuna uhusiano gani kati ya bikra na mtu wa kwanza kuifungua kama moja ya kumbukumbu zake isiyo saulika maishani kiasi kwamba anaweza kupasha kiporo chake ikawa kajiona sawa kwanini?
 
Naomba kuhuliza kuna uhusiano gani kati ya bikra na mtu wa kwanza kuifungua kama moja ya kumbukumbu zake isiyo saulika maishani kiasi kwamba anaweza kupasha kiporo chake ikawa kajiona sawa kwanini?
Kuhusu hilo sijui boss
 
Mmoja alinizingua hataki kunipa na alikuwa ameshaingia Kingi nikamuuliza ww Bikra akasema hana nkashangaa ananibania huku kuna bwege anakula alikuwa anasoma nae chuo.
 
Mkuu umenkumbusha kitu
Kuna manzi nliwah mwulza wew n bikra akasrma no
Nlauliza uliwah sex akasema no
Kha sasa ilitokaje akazingizia baskeri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umenkumbusha kitu
Kuna manzi nliwah mwulza wew n bikra akasrma no
Nlauliza uliwah sex akasema no
Kha sasa ilitokaje akazingizia baskeri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu hawaelewi maana ya bikra. No matter what happens kama hujafanya ngono we ni bikra tu
 
Kwahyo kwabahat mbaya dada akakaria mti ukaingia ndani
Nae anakua bikra[emoji23]
 
Kuna rafiki angu mchumba wake kamwambia hawafanyi ngono mpaka ndoa, jamaa amekubali kwasababu ni mtu wa dini ila chakusikitisha huyo mchumba wake angawa nje kama porn star. Soon wanafunga ndoa,namuonea huruma rafiki angu maana anakwenda kuoa kahaba haswa
 
Ungemwambia na mimi nimeteleza sikuoi tena, halafu umsikilize atakachokujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…