Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Sawa unalosema
Hello guys,

There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lakini shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa wakati wewe the man of the match huambulii hata busu

Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na wewe, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lakini yupo na wewe kwa kuwa una pesa au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.

Source: uzoefu wangu
 
Bikra ni mwanamke ambae hajawahi kuingiliwa kingono. Hicho ulichotaja wewe ni ushahidi tu wa kuonyesha kwamba mtu hajaingiliwa ambao unaweza kuwepo au usiwepo. Utasikia eti ukiendesha baiskeli bikra inatoka khaa kwamba mtu anapokuwa naendesha baiskeli anakuwa anatiana nayo? Kifupi bikra is not something tangible
Naomba kuhuliza kuna uhusiano gani kati ya bikra na mtu wa kwanza kuifungua kama moja ya kumbukumbu zake isiyo saulika maishani kiasi kwamba anaweza kupasha kiporo chake ikawa kajiona sawa kwanini?
 
Naomba kuhuliza kuna uhusiano gani kati ya bikra na mtu wa kwanza kuifungua kama moja ya kumbukumbu zake isiyo saulika maishani kiasi kwamba anaweza kupasha kiporo chake ikawa kajiona sawa kwanini?
Kuhusu hilo sijui boss
 
Mmoja alinizingua hataki kunipa na alikuwa ameshaingia Kingi nikamuuliza ww Bikra akasema hana nkashangaa ananibania huku kuna bwege anakula alikuwa anasoma nae chuo.
 
Bikra ni mwanamke ambae hajawahi kuingiliwa kingono. Hicho ulichotaja wewe ni ushahidi tu wa kuonyesha kwamba mtu hajaingiliwa ambao unaweza kuwepo au usiwepo. Utasikia eti ukiendesha baiskeli bikra inatoka khaa kwamba mtu anapokuwa naendesha baiskeli anakuwa anatiana nayo? Kifupi bikra is not something tangible
Mkuu umenkumbusha kitu
Kuna manzi nliwah mwulza wew n bikra akasrma no
Nlauliza uliwah sex akasema no
Kha sasa ilitokaje akazingizia baskeri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umenkumbusha kitu
Kuna manzi nliwah mwulza wew n bikra akasrma no
Nlauliza uliwah sex akasema no
Kha sasa ilitokaje akazingizia baskeri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu hawaelewi maana ya bikra. No matter what happens kama hujafanya ngono we ni bikra tu
 
Kwahyo kwabahat mbaya dada akakaria mti ukaingia ndani
Nae anakua bikra[emoji23]
 
Kuna rafiki angu mchumba wake kamwambia hawafanyi ngono mpaka ndoa, jamaa amekubali kwasababu ni mtu wa dini ila chakusikitisha huyo mchumba wake angawa nje kama porn star. Soon wanafunga ndoa,namuonea huruma rafiki angu maana anakwenda kuoa kahaba haswa
 
Daaaa!!... Umenikumbusha mbali Mkuu ...nilikuwaga na demu wangu wa hivo toka 2012 akiwa anajifanya bikira kidume natunza tuje tuoane ...wakat nataka kumuoa namuuliza bado upo kama kama ulivyoniambi akanambia hapana..nikamuuliza kwa nini akambia kwani sijakuambia nniiteleza nikaanguka nikapasuka...daa wnawake nyoka wa pili baada ibilisi
Ungemwambia na mimi nimeteleza sikuoi tena, halafu umsikilize atakachokujibu
 
Back
Top Bottom