Alafu nashangaa... mi nimetongoza dem kanikubalia, sasa suala la kubanjuana naomba tena???!!! Sasa alinikubalia nini?
swali zuri.... itabidi uangalie 'mkataba wa makubaliano'; inawezekana wewe unaruhusiwa kumbusu kwenye paji la uso tu teh teh teh
Lakini pia Nakapanya kuna kitu kimoja sku hizi wanawake njia nzuri ya kunfukuza mtu usiye mtaka ni hii unampiga mzinga mtakatifu kabla ya kuvunja amri basi lazima ale kona tu hata iweje na hapo najua fika hutoweza kurudi manake kama umeshindwa kumpa wafikiri atakuelewa?
nilishawah kuapply njia hii and it worked nia ilikuwa kujiondolea shombo so i proposed big amount of money alipoona maji marefu he kept quite na mimi i kept shush so auto akawa amejiondoa kwangu. sasa kama mtu unamwambia hakuelewi mpaleke chaka tu ivo ivo.
so jiangalie kama kweli alishawah kuonyesha kutokukutaka basi hii ndo njia ya kukufukuza.
Kaka nunua tu,ukiona hyo bei kali,tafuta kwa bei rahisi.
Ukweli ni kwamba huyo msichana hana maana angekuwa na maana ww mpenzi wake angekuomba tu umsaidie kulipa hiyo kodi bila kusema nipe nikupe au anakuona na ww siyo mkaaji kwa hiyo anataka mtoke ngoma droo!...
Upande upi huo mkuu utaliwa mi ninaona itakuwa suluhu tu hiyo!....hapo sidhani kama ngoma itakuwa droo,lazima upande mmoja utaliwa tuu.
ajipime nguvu kama hawez aachie ngazi. sasa wampa dau dogo aliweze halafu ubaki na shombo lake?
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

Yuko kibiashara zaidi huyo hana mapenzi kabisa, stuka na kusepa haraka sana kabla hujalizwa na huyo CD.
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana kila ukimuomba penzi anakuzungusha kwa sababu mbalimbali na ahadi zisizotimilika.Unaamua kutulia tu;siku moja unapokea sms yake inasema hivi,"HONEY NAKUPENDA SANA,NAPENDA KUWA NAWE ILA KABLA SIJALALA NAWE/KUFANYA MAPENZI NAOMBA UNILIPIE PANGO LA NYUMBA MIEZI 6(72000) COZ KWASASA SINA KAMAPANI NA NIMEFULIA,JE UPO TAYARI?".sasa kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
halafu hii nyimbo naipenda ni kali!
Mimi nadhani ni suala la kukubaliana baye au la, maana hiyo ni kazi. Sana sana kama ni mimi nitamuuliza kwa bei hiyo nitalala naye for how long?
itabidi nikutafute unidadavulie kidogo kuhusu dhana ya 'mashtuzi' aisee
mvaa tai hii avatar yako kiboko! jamaa anakwenda lakini hafiki, halafu huo mwendo wake!!!!