Lakini pia
Nakapanya kuna kitu kimoja sku hizi wanawake njia nzuri ya kunfukuza mtu usiye mtaka ni hii unampiga mzinga mtakatifu kabla ya kuvunja amri basi lazima ale kona tu hata iweje na hapo najua fika hutoweza kurudi manake kama umeshindwa kumpa wafikiri atakuelewa?
nilishawah kuapply njia hii and it worked nia ilikuwa kujiondolea shombo so i proposed big amount of money alipoona maji marefu he kept quite na mimi i kept shush so auto akawa amejiondoa kwangu. sasa kama mtu unamwambia hakuelewi mpaleke chaka tu ivo ivo.
so jiangalie kama kweli alishawah kuonyesha kutokukutaka basi hii ndo njia ya kukufukuza.