Judithkaunda
Member
- Aug 21, 2022
- 90
- 231
Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.
Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja.
Huyo huyo mwanaume hafanyi majukumu yake Kama mume au mpenzi. Mnyanyasaji, hamsaport mke, mkifika nyumbani hakuna story, hakuna huge Wala kiss, anadai kachoka. Mnafanya tu tendo kama wajibu na sio kuburudishana.
Huwezi hata kumsifia mkeo akipendeza unaacha wahuni wamsifie kaka utakuja kupigwa na kitu kizito alafu ufanye huo ukatili sijui hao watoto mnawaacha kwenye mazingira gani.
Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho. Kama hamfanyi majukumu yenu unategemea huyo mwanamke atulie kwa misingi ipi?
Kesho ntaongelea wanawake, wanaume msimaindi sana.