Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

Sijashindwa lakn nahitaj Yale mapenzi ya dhati kama mwanzo, tunakiss tuna huge Sio naishia kuona kwenye tamthilia.
Kwahiyo dada Judy unaishi maisha ya tamthilia,yale ni maigizo tu[emoji23][emoji23].
 
Nyinyi wanawake mnataka umalaya wenu iwe kama haki kwa kigezo cha wanaume hawapo romantic
sasa nawaambia mtakuja kufa kweli na visa vipo vingi shenzi nyinyi
ukiolewa tulia na mumeo hata kama ana nyumba ndogo 20
Mwanangu hiki kizazi tuna mikosi tumeoa madangaji aisee.
 
Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao.

Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja.

Huyo huyo mwanaume hafanyi majukumu yake Kama mume au mpenzi. Mnyanyasaji, hamsaport mke, mkifika nyumbani hakuna story, hakuna huge Wala kiss, anadai kachoka. Mnafanya tu tendo kama wajibu na sio kuburudishana.

Huwezi hata kumsifia mkeo akipendeza unaacha wahuni wamsifie kaka utakuja kupigwa na kitu kizito alafu ufanye huo ukatili sijui hao watoto mnawaacha kwenye mazingira gani.

Wanaume kama kweli huo wivu ni upendo onyesheni mapenzi sio vitisho. Kama hamfanyi majukumu yenu unategemea huyo mwanamke atulie kwa misingi ipi?

Kesho ntaongelea wanawake, wanaume msimaindi sana.
Pole sana kwa mazito unayoyapitia. Hizo ndio changamoto za ndoa. Muombe Mungu atakusaidia dada.
 
Nyinyi wanawake mnataka umalaya wenu iwe kama haki kwa kigezo cha wanaume hawapo romantic
sasa nawaambia mtakuja kufa kweli na visa vipo vingi shenzi nyinyi
ukiolewa tulia na mumeo hata kama ana nyumba ndogo 20
MO11
 
Screenshot_20221007-143321.png

Ushaelewa au nianze upya?
 
Kila mtu afanye wajibu wake kwenye ndoa..ukiamua kuchepuka mbususu ni yako
 
Sijashindwa lakn nahitaj Yale mapenzi ya dhati kama mwanzo, tunakiss tuna huge Sio naishia kuona kwenye tamthilia.

Yan wanawake mnapendaga vitu vya kijinga kinoma..sa kiss na hug ndio nini???kama unakula na kuvaa na unakazwa inatosha bhn Wanaume tuna mambo mengi
 
Back
Top Bottom