Akiba uliyoiweka kwa miaka 35 unaitumia ndani ya miaka 2. Kuanzia kujengea wakwe nyumba, kusomesha mashemeji na kumtibu mama mkwe.Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee mbaufurahia.
Shida inakuja pale mliachana na mwenza au mmoja ametangulia mbele za haki. Mwaume anaanza mahusiano na ka binti ka 20+. Kisa wanakuambia gari bovu huvutwa na gari zima. Ni chuchu saa sita ndiyo zinawapagawisha? Unakutana na baba yake binti Ana miaka 48 wewe umegonga 60. Lakini ni baba mkwe huyo.
Akiba uliyoiweka kwa miaka 35 unaitumia ndani ya miaka 2. Kuanzia kujengea wakwe nyumba, kusomesha mashemeji na kumtibu mama mkwe.
Genz wanawafilisi hawa age go wenzazngu.
Hushuki kdg mzee niingie kwenye mfumoMaisha ni ku-take risks mkuu, na 62 yangu hapa nataka 35+, GenZ sitaki. Kama upo 35+ njoo tuongee😅
We tuongee nione kama unafaa au bado una mambo mengi!! Ila kigezo ni 35+Hushuki kdg mzee niingie kwenye mfumo
Wa kula pensheni za wazee namm 😂
Mambo mengi ni yapi sasa!? Hebu shusha vigezo nione kama nafit au lah..We tuongee nione kama unafaa au bado una mambo mengi!! Ila kigezo ni 35+
Kwa maneno haya we bado kidogo😅😅😅😅Mambo mengi ni yapi sasa!? Hebu shusha vigezo nione kama nafit au lah..
Nina udogo gani niashavuka makorongo na viringe vyote! Hebu teremsha vigezo nijaribu bahati unakwama wapi mzee..Kwa maneno haya we bado kidogo😅😅😅😅
Mkuu....nije?Maisha ni ku-take risks mkuu, na 62 yangu hapa nataka 35+, GenZ sitaki. Kama upo 35+ njoo tuongee😅
Mimi na wewe tena, wewe ni taste yangu kabisa. Sema tahadhari, usiniendeshe sana, nakaribia ukingoni😅😅Mkuu....nije?