Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kumbeee!! Sikuwa najua..Muandiko unaeleza mengi sana mkuu. Mpaka kuna taaluma ya kuchambua miandiko
Kumbeee!! Sikuwa najua..Muandiko unaeleza mengi sana mkuu. Mpaka kuna taaluma ya kuchambua miandiko
Mkuu cha muhimu sana ulichokisahau ni kile kitendo cha mkwilima kikongwe wa miaka 60 kumwamkia kwa heshima zote 'shikamoo' ba'mkwe kijana wa miaka 48 tu.Maisha ni safari ndefu, ukifanikiwa kufika 60,70,80…ukiwa na afya njema ni jambo la kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa hapa kama uko na mwenza wako na mipango yenu ya pesa iko sawa uzee mbaufurahia.
Shida inakuja pale mliachana na mwenza au mmoja ametangulia mbele za haki. Mwaume anaanza mahusiano na ka binti ka 20+. Kisa wanakuambia gari bovu huvutwa na gari zima. Ni chuchu saa sita ndiyo zinawapagawisha? Unakutana na baba yake binti Ana miaka 48 wewe umegonga 60. Lakini ni baba mkwe huyo.
Akiba uliyoiweka kwa miaka 35 unaitumia ndani ya miaka 2. Kuanzia kujengea wakwe nyumba, kusomesha mashemeji na kumtibu mama mkwe.
Genz wanawafilisi hawa age go wenzazngu.
Tungelikuwa tunaonana live, nadhani tungerambana sana makofi isee!Hio siku ya 3 unaniambia mambo ya kijambio! Shida nini? **** sehem umeona natafuta huo ufirauni? Afu mi mke wa mtu nikome aisee!
Hapa pa watoto wawe wanajishuhulisha haitokei kama maajabu ya harusini Cana. Inabidi uwekeze muda, pesa na fikara nyingi tu.Fahari yangu mimi niwe na watoto wengi uzeeni, kuhusu mama zao siwafikirii sana. Inapendeza sana kama utafika 70+ na ukawa na vijana 10+, ambapo mwenye umri mdogo uwe 20+ na wawe wamoja na wanajishughulisha.
Kwani mke wa mtu ndo hana kijambio au tobo, mke wa mtu ndo atoi utamu. Mke wa mtu ndo hai ingii. Mke wa mtu ndo nini, kwani Kuna mke wa pimbi au wa nyau au Kuna mke wa mbuzi, wote si ni wake wa watu wanaliwa na mtu kama watu wengine.Hio siku ya 3 unaniambia mambo ya kijambio! Shida nini? **** sehem umeona natafuta huo ufirauni? Afu mi mke wa mtu nikome aisee!
Yote hayo ya nini mkuu kumweleza mtu ambaye hamfahamiani?Kwani mke wa mtu ndo hana kijambio au tobo, mke wa mtu ndo atoi utamu. Mke wa mtu ndo hai ingii. Mke wa mtu ndo nini, kwani Kuna mke wa pimbi au wa nyau au Kuna mke wa mbuzi, wote si ni wake wa watu wanaliwa na mtu kama watu wengine.
Lete afu useme mke wa mtu tuone kama haitaingia, Tena nakuvumbura pande zote kama samaki upande huu nakukula nakugeuza na upande mwingine nakukula pia, yani kama samaki vile.
😂😂😂😂😂😂Huu ni ukweli kabisa na Tena ukweli mchungu......
Na genz vihela vikiisha anaondoka zake,,, hapo ndugu tunaachiwa binadamu mwenye matatizo lukuki yakiwemo ukosefu wa hela
Unajua wanatuchanganya hawa wazee wenzetu. Tulivyokua agemates kule kwenye 20's walitukataa kwamba sababu bado tunataabika kimaisha, wakakimbilia kwa masugar dady wa nyakati hizo. Sasa hivi sisi tumekua masugar dady hawataki tule dogo dogo badala yake tutulie na wao ambao walitukataa kule kwenye 20'sNadhani mkuu hata nyie mlipokuwa vijana 'mlivuta magari mabovu' ya wakati huo.
Tena nafikiri kipindi hicho haikuwa ajabu wazee kujihusisha na vijana wadogo.
Tuacheni na sisi tule pesa za rich aunties & uncles. Ajira zenyewe hakuna.